Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

Yeah, but sometimes zinapatikana, It's only a matter of time. Mwaka huu Samsung ameshaachia flagship yake mapema tu. Si rahisi mwaka uishe bila wenzake kuja kumpindua
Kwa baadhi ya Feature maybe, ila kwa overall specs/Feature kampuni za Kichina bado sana.

Mfano Xiaomi hadi leo simu zake za mamilioni zinakuja na Usb 2.0 standard ya mwaka 2000, ipo outdated na haina feature zote za kisasa, wakati Samsung una Dex na Na Accessories kibao kumatch usb 3.2 yako.

Unapata kalamu kwenye Samsung flagship, ip ratings, Software ambayo ipo Matured, Display Nzuri yenye brightness na HDr standard zote, Battery life Nzuri zaidi kwa Android (Atleast hii miaka 3), decent camera etc.

Simu nyingi za Kichina sio All arounder, unaweza ukakuta ina Camera kali ila haina ip rating, ama Display nzuri lakini Haina Usb 3. 2 etc.

Ndio maana mimi huwa narecomend tu zile simu zao zenye values kubwa na bei ya Chini.
 
Kwa baadhi ya Feature maybe, ila kwa overall specs/Feature kampuni za Kichina bado sana.

Mfano Xiaomi hadi leo simu zake za mamilioni zinakuja na Usb 2.0 standard ya mwaka 2000, ipo outdated na haina feature zote za kisasa, wakati Samsung una Dex na Na Accessories kibao kumatch usb 3.2 yako.

Unapata kalamu kwenye Samsung flagship, ip ratings, Software ambayo ipo Matured, Display Nzuri yenye brightness na HDr standard zote, Battery life Nzuri zaidi kwa Android (Atleast hii miaka 3), decent camera etc.

Simu nyingi za Kichina sio All arounder, unaweza ukakuta ina Camera kali ila haina ip rating, ama Display nzuri lakini Haina Usb 3. 2 etc.

Ndio maana mimi huwa narecomend tu zile simu zao zenye values kubwa na bei ya Chini.
Kwenye suala la USB Type C 2.0 na 1080p selfie camera ndio naona Xiaomi anazingua, basi ingawa pengine hilo suala lina mwisho, mwaka huu hajatoa flagship. Ila kwingine yupo vizuri, pia anakuja na USB Type C 2.0 sawa, lakini kama shida ni file transfer speed unaweza kutumia WiFi 6 sio lazima kutumia USB Type C 3.2, ila bila kusahau charging speed ya Xiaomi Hypercharge technology inayowezesha kuchaji simu around dakika 20 tu, na kama sio fan wa hiyo kitu unaweza tumia Wireless ambayo itachaji kwa zaidi ya 30min. Halafu Xiaomi ana smartpen zake ingawa zinauzwa separately. Pia nimesikia S23 Ultra imekuja na improvements chache na kuna sehemu wamedowngrade ila bado bei imenyooka balaa. S22 Ultra nayo ilikuwa haikai na chaji labda S23 Ultra ndo naona wameimprove
Wachina wana simu zenye USB Type C 3 point something pia kama Vivo X90 Pro Plus, One Plus 11, Oppo Find X5 Pro. Ikiwa Xiaomi hajaamua kutumia Type C 3.2 zisipewe lawama flagship za China, bali Xiaomi. Mfano Vivo X90 Pro Plus mi naona imekamilika kwenye hilo suala.


Halafu nasikia watu wanaongelea sana hiyo Samsung Dex, ila na mimi natamani kujua ndio nini, kama unaweza kunielezea na mimi nielewe hiyo Samsung Dex inafanyaje-fanyaje kazi. Pia kama hutojali naomba unielezee faida za USB Type C 3.2 ukiachana na Files Transfer speed
 
Samsung galaxy S10 5g inazidi kunipa raha😍🥰🤩🤩
Nilishatoa vichache sasa ngoja niwape vingine vichacheee
"Najua na wenye simu zingine wanaweza kua navyo mi sijali ila kuwepo kwenye hii simu kumenifanya nizidi kuenjoy Samsung experience*

1- Mpangilio wa Camera za nyuma, yani hii simu ata kama mtu yuko mita kadhaa mbali lakini ukiiona mpangilio wa kamera zake za nyuma unajua yeaah chuma s10 hiyoo😁😆😁😁
2- Mpangilio wa Camera za selfie, yani na ilivyo na bezel ndogo juu na chini basi ukiwa unaiangalia hivi ile eneo la camera za selfie zinajichora kama duara flani hivi ( Iphone wameeita dynamic island mwaka jana lakini Samsung wameiweka toka 2019, though iko tofauti na iphone) huwa sichoki kuiangalia aisee😆😆😆😅

3- Separate App sound; Sasa hapa unaweza weka audio playlist yako inapiga kwenye Bluetooth af the same time unacheki other videos kutumia speaker za simu bila muingiliano😁😄😄 hata mtu akipiga simu Bluetooth inaendelea na vibe huku umepokea simu🤗🤗🤗
4- Mwandiko: Hapa sasa aaah 🤗😊😊 yani mgunduzi wa hii miandiko ya Samsung ni peponi moya kwa moya😁😄😄 yani ni kitu "yuniki" saana na kiukweli inavutia saaana

Ngoja nipumzike 🤭🤗
 
Fafanua mie sijui inafanyaje kazi
Kwa nilivyoelewa ni kwamba unaconnect simu yako (Samsung) na computer kisha yale mambo ya kwenye simu yako yanatokea kwenye computer then unaanza kutumia sasa hiyo computer kama tu unavyotumia simu yako. Mfano, huyu ameconnect simu yake ya Samsung na monitor kwa waya kupitia Samsung DeX na vitu vya kwenye simu yake vinaonekana kupitia hiyo monitor[emoji116][emoji116]
Screenshot_20230221-185529~2.jpg

Hapo ina maana anaweza sasa kutumia mouse na kila kitu cha kompyuta ili aweze kuaccess service hiyo.
Pia unaweza kuconnect wireless, bila waya [emoji116][emoji116]
Screenshot_20230221-185558~2.jpg

Hii Samsung DeX sijaielewa kiundani zaidi na sijapata muda wa kuifuatilia lakini nina mpango wa kuifuatilia kiundani zaidi siku nikiielewa kwa zaidi ya 90% nitakuja kuanzisha thread yake humu maana hayo maelezo niliyokupa tu nahisi yana ukakasi ndani yake, sijapata haswa jibu la uhakika ila kwa mwanga huu tu naona hiki ndicho kitu kinachofanya flagship za Samsung za siku hizi ziwe more special than any other flagships.
Screenshot_20230221-185620~2.jpg

Pia naomba kama kuna mtu ameielewa hii Samsung DeX aje aanzishe uzi mapema ili watu tuielewe kivipi inafanya kazi na mchango wake katika kukuza teknolojia kwa upande wa simu
 
Kwa nilivyoelewa ni kwamba unaconnect simu yako (Samsung) na computer kisha yale mambo ya kwenye simu yako yanatokea kwenye computer then unaanza kutumia sasa hiyo computer kama tu unavyotumia simu yako. Mfano, huyu ameconnect simu yake ya Samsung na monitor kwa waya kupitia Samsung DeX na vitu vya kwenye simu yake vinaonekana kupitia hiyo monitor[emoji116][emoji116] View attachment 2525374
Hapo ina maana anaweza sasa kutumia mouse na kila kitu cha kompyuta ili aweze kuaccess service hiyo.
Pia unaweza kuconnect wireless, bila waya [emoji116][emoji116]View attachment 2525379
Hii Samsung DeX sijaielewa kiundani zaidi na sijapata muda wa kuifuatilia lakini nina mpango wa kuifuatilia kiundani zaidi siku nikiielewa kwa zaidi ya 90% nitakuja kuanzisha thread yake humu maana hayo maelezo niliyokupa tu nahisi yana ukakasi ndani yake, sijapata haswa jibu la uhakika ila kwa mwanga huu tu naona hiki ndicho kitu kinachofanya flagship za Samsung za siku hizi ziwe more special than any other flagships.View attachment 2525380
Pia naomba kama kuna mtu ameielewa hii Samsung DeX aje aanzishe uzi mapema ili watu tuielewe kivipi inafanya kazi na mchango wake katika kukuza teknolojia kwa upande wa simu
Ukipata muda Anzisha, ila Advantage nyengine ki bongo bongo simu ikifa Display inahamia kwenye TV as a TV box. Unatafuta Type C dongle as cheap as 8000 Aliexpress, unaconect na TV kupitia HDMI, kwenye Simu unaweka Netflix, App za Mpira, Movies etc unaifanya TV inakuwa smart zaidi

PXL_20230221_194021037.jpg

Kitu kinachokwaza kwenye Dex ni Launcher hazikubali, ila zingekubali ukiweka Launcher kama ATV mtu hata hawezi jua unatumia Simu.
 
Samsung galaxy S10 5g inazidi kunipa raha[emoji7][emoji3059][emoji2956][emoji2956]
Nilishatoa vichache sasa ngoja niwape vingine vichacheee
"Najua na wenye simu zingine wanaweza kua navyo mi sijali ila kuwepo kwenye hii simu kumenifanya nizidi kuenjoy Samsung experience*

1- Mpangilio wa Camera za nyuma, yani hii simu ata kama mtu yuko mita kadhaa mbali lakini ukiiona mpangilio wa kamera zake za nyuma unajua yeaah chuma s10 hiyoo[emoji16][emoji38][emoji16][emoji16]
2- Mpangilio wa Camera za selfie, yani na ilivyo na bezel ndogo juu na chini basi ukiwa unaiangalia hivi ile eneo la camera za selfie zinajichora kama duara flani hivi ( Iphone wameeita dynamic island mwaka jana lakini Samsung wameiweka toka 2019, though iko tofauti na iphone) huwa sichoki kuiangalia aisee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji28]

3- Separate App sound; Sasa hapa unaweza weka audio playlist yako inapiga kwenye Bluetooth af the same time unacheki other videos kutumia speaker za simu bila muingiliano[emoji16][emoji1][emoji1] hata mtu akipiga simu Bluetooth inaendelea na vibe huku umepokea simu[emoji847][emoji847][emoji847]
4- Mwandiko: Hapa sasa aaah [emoji847][emoji4][emoji4] yani mgunduzi wa hii miandiko ya Samsung ni peponi moya kwa moya[emoji16][emoji1][emoji1] yani ni kitu "yuniki" saana na kiukweli inavutia saaana

Ngoja nipumzike [emoji2960][emoji847]
Mkuu naitumia hapa hii s10 5g wiki moja sasa kwa kweli imekamilika kila idara,nimeuza s20+ baada ya kunitesa upande wa chaji.ilikuwa haikai na chaji kabisa pia inachemka mno utadhani tecno..nimeamua kurudi nyuma maana s10 + niliielewa sana
Screenshot_20230222_050612_One%20UI%20Home.jpg
 
Mimi napenda hii Secret Mode ya kwenye Samsung Internet
Unaturn secret mode on, unatengeneza password yako halafu inakupeleka kwenye internet sasa, unasearch mambo yako ya ovyo, unaangalia wee mpaka unachoka mwenyewe na ukimaliza history inajifuta yenyewe. Hakuna mtu mwingine anayeweza kuingia kwenye Secret Mode yako mpaka ajue password, tena ikiwezekana tia password ambayo hakuna mtu anayeweza kubahatisha mfano "PENTEKOSTE" hamna mtu atabahatisha hii password[emoji23][emoji23]
Ndani ya Secret Mode unafanya ushetani wako wote hata ukikaribia kukamatwa unarudi fasta Home screen, then tayari upo salama 100%. Ukiingia tena Samsung Internet unaikuta ipo kwenye safe internet page ya kila siku[emoji23][emoji23]
Secret Mode inaficha madhambi ya wengi sana[emoji38][emoji38]
Sikutegemea kama ningecheka kiasi hiki, eti pentekoste.
 
Natumia Galaxy s8, ni simu moja bomba sana ila battery ndo mtihani, hivi kubadilisha battery ya hii simu inaweza cost kiasi gani cha fedha ?
 
Nategemea kwenda kununua s10+ refurb hivi karibuni, vipi hizi simu ukaaji wake na chaji.
Hii simu nikiondoka asubuhi nyumbani saa12 kufika saa 2 usiku beteri inakiwa flat inabidi nikonect chaja na ni muda mrefu, miaka 3 sasa.
So far mi si mtaaalam wa mambo ya. Natumia iki kizazi cha Samsung edge kwasababu ya umbo lake.. Yaani hiyo ndiyo sifa pekee kwangu uwa siangalia mambo:-
Processer.
Ram.
Capacity
Etc. Uzuri wa simu kwangu ni umbo lake la nje na si vitu vya ndani.
 
Nategemea kwenda kununua s10+ refurb hivi karibuni, vipi hizi simu ukaaji wake na chaji.
Naweka moto mara moja tu kwa siku,sizimi data,hapa Samsung kwenye battery alituliza kichwa,nadunda nayo mpaka leo na sijaona mbadala.
 
Habari ya muda huu wana jamvi la Jf?

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza ningependa kila mmoja aeleze ni Features gani zinamfanya apende smartphone kutokea kampuni hii,

Mimi kwa upande wangu kuna ile feature ya private mode na smart silence zinazoptkana katik S series na Note series huwaga nazielewa sana japo zipo nyingi zinazonifanya Ninunue smartphone ya samsung

WEWE JE?
Sijawahi kutumia huo uchafu
 
Back
Top Bottom