Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Kwa baadhi ya Feature maybe, ila kwa overall specs/Feature kampuni za Kichina bado sana.Yeah, but sometimes zinapatikana, It's only a matter of time. Mwaka huu Samsung ameshaachia flagship yake mapema tu. Si rahisi mwaka uishe bila wenzake kuja kumpindua
Mfano Xiaomi hadi leo simu zake za mamilioni zinakuja na Usb 2.0 standard ya mwaka 2000, ipo outdated na haina feature zote za kisasa, wakati Samsung una Dex na Na Accessories kibao kumatch usb 3.2 yako.
Unapata kalamu kwenye Samsung flagship, ip ratings, Software ambayo ipo Matured, Display Nzuri yenye brightness na HDr standard zote, Battery life Nzuri zaidi kwa Android (Atleast hii miaka 3), decent camera etc.
Simu nyingi za Kichina sio All arounder, unaweza ukakuta ina Camera kali ila haina ip rating, ama Display nzuri lakini Haina Usb 3. 2 etc.
Ndio maana mimi huwa narecomend tu zile simu zao zenye values kubwa na bei ya Chini.