Uchaguzi 2020 Nini kinampa Kheri James wa UVCCM kiburi cha matamko hatari?

Kuchinja watu sio kuzuri ila watu kama doto wanastahili hiyo adhabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajua kura watazipata kwa kuchakachua so wanajiamini.Rejea kauli ya Samia Suluhu Hassani kwamba hata mkipigia kwingine CCM ndio itaunda serikali.Ni kauli za watu waliokwisha kushindwa lkn wana jambo linalowapa matumaini.KUIBA KURA.
 
Kuchinja watu sio kuzuri ila watu kama doto wanastahili hiyo adhabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana Odinga anaheshimika Kenya huwezi ona anafungwa au kupigwa biti kma wapinzani wa TZ. Maana kule wanajua mziki wake, unakuta tu shangazi yako kang'olewa kucha unadhani utaendelea na upuuzi.

Shida huku wanajua wapinzani ni wapole na hawawezi fanya lolote sababu hawana jeshi. Ila siku ikitokea ''Los Pepes'' ikianza ndio utaona wanavyoshika adabu.
 
Na wale wenye uwezo wa kumkosoa wamapigwa sole-tape na mahekalu ya ufukweni mwa bahari ya Hindi.
 
Wanajua kura watazipata kwa kuchakachua so wanajiamini.Rejea kauli ya Samia Suluhu Hassani kwamba hata mkipigia kwingine CCM ndio itaunda serikali.Ni kauli za watu waliokwisha kushindwa lkn wana jambo linalowapa matumaini.KUIBA KURA.
Kauli za katibu mkuu na James UVCCM siyo za kuzipuuza nadhani wamejipanga kuiba kura
 
Ni moja ya mikakati yao ya Siri sema huyu ni roporopo,rejea kauli za atupeleki maendeleo kwa wapinzani alianza yeye kuropoka toka 2018,kabla ya mjomba wake kuzirejea this year na samia akakazia humohumo.
Mtu muovu hawezi jificha 'selfimge is your mental picture generally resistance to changes built up over a period of time that makes what you are'
 
Dogo naye anatokea kanda ya ziwa?
 
Mtu muovu hawezi jificha 'selfimge is your mental picture generally resistance to changes built up over a period of time that makes what you are'
Hata fece reading tu unauona uovu wa roho ya mauaji nyusoni mwao. walidhani wangeweza kuwasilence watu kwa kuwanyima haki ya kuishi.
 
Attachments

  • Screenshot_20201019_082855.jpg
    58.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201019_072525.jpg
    61.7 KB · Views: 1
Hiyo approach naiona ikianza kufanya kazi hapa nchini very soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…