Uchaguzi 2020 Nini kinampa Kheri James wa UVCCM kiburi cha matamko hatari?

Uchaguzi 2020 Nini kinampa Kheri James wa UVCCM kiburi cha matamko hatari?

Siyo huyo tu kuna mwingine anaitwa single Leonard yaani ukisikia anamkaripia Lissu au Zitto utadhani cjui jamaa ni mkuu wa majeshi ya Afrika.
Na ndio maana magu anawadharau, anateua wapinzani huku wenyewe wakibaki kupiga kelele majukwaani.

Colombia kuna style ya Los Pepes yaani mwanasiasa wa chama tawala hta hawahangaiki naye. Wanamchinja mwanae kama kuku, unadhani upuuzi utaendelea?

Kuna watu wanakera sana na hapa hutoona NEC au viongozi wa Dini wanapiga kelele.
Kuchinja watu sio kuzuri ila watu kama doto wanastahili hiyo adhabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajua kura watazipata kwa kuchakachua so wanajiamini.Rejea kauli ya Samia Suluhu Hassani kwamba hata mkipigia kwingine CCM ndio itaunda serikali.Ni kauli za watu waliokwisha kushindwa lkn wana jambo linalowapa matumaini.KUIBA KURA.
 
Kuchinja watu sio kuzuri ila watu kama doto wanastahili hiyo adhabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana Odinga anaheshimika Kenya huwezi ona anafungwa au kupigwa biti kma wapinzani wa TZ. Maana kule wanajua mziki wake, unakuta tu shangazi yako kang'olewa kucha unadhani utaendelea na upuuzi.

Shida huku wanajua wapinzani ni wapole na hawawezi fanya lolote sababu hawana jeshi. Ila siku ikitokea ''Los Pepes'' ikianza ndio utaona wanavyoshika adabu.
 
Ccm wanamuogopa Sana sababu akupewa hicho cheo kwa kushinda kura bali ni amri ya mjomba wake, tuliwaonya Sana ccm katiba yao ndio kitanzi chao. Mambo ya kofia mbili ni hatari yalifaa vizazi vilivyopita. Mwenyekiti atakiwi kuwa na nguvu kuliko chama ataingiza maamuzi binafsi check Sasa kajaza ndugu zake kila sehemu na hakuna wa kumpinga.

Inatakiwa mwenyekiti wa chama asiwe raisi ili waweze kudhibitiana, yaani mfano raisi akikikosea chama anafukuzwa uanachama Kama ilivyo chama cha ZANU au ANC. Leo ccm imekua ni Mali binafsi ya mwenyekiti na genge lake Hadi kasajili wasio ijua hata ccm Wala siasa za ccm kina polepole na bashiru ambao awajui chochote kuhusu sayansi ya siasa zaidi ya mipasho. Hata mpangilio wa kampeni awajui awajui wamuandalie mgombea nn cha kuongea kulingana na mahitaji ya sehemu husika, unawaambia karatu au magu eti tanunua ndege tano, nimejenga flyover, SGR Hali wao hitaji lao kuu sio hivyo.

Wajifunze hata kwa chadema kampeni zao zimegusa mahitaji sahihi ya eneo husika. Eti wanamshauri mwenyekiti kununua wanaopigiwa kura badala ya wapiga kura. Ccm leo ni Mali binafsi ya ukoo fulani wengine ni wapenzi watazamaji tu. Katiba yao ndio kitanzi kwao
Na wale wenye uwezo wa kumkosoa wamapigwa sole-tape na mahekalu ya ufukweni mwa bahari ya Hindi.
 
Wanajua kura watazipata kwa kuchakachua so wanajiamini.Rejea kauli ya Samia Suluhu Hassani kwamba hata mkipigia kwingine CCM ndio itaunda serikali.Ni kauli za watu waliokwisha kushindwa lkn wana jambo linalowapa matumaini.KUIBA KURA.
Kauli za katibu mkuu na James UVCCM siyo za kuzipuuza nadhani wamejipanga kuiba kura
 
Ni moja ya mikakati yao ya Siri sema huyu ni roporopo,rejea kauli za atupeleki maendeleo kwa wapinzani alianza yeye kuropoka toka 2018,kabla ya mjomba wake kuzirejea this year na samia akakazia humohumo.
Mtu muovu hawezi jificha 'selfimge is your mental picture generally resistance to changes built up over a period of time that makes what you are'
 
Mtu muovu hawezi jificha 'selfimge is your mental picture generally resistance to changes built up over a period of time that makes what you are'
Hata fece reading tu unauona uovu wa roho ya mauaji nyusoni mwao. walidhani wangeweza kuwasilence watu kwa kuwanyima haki ya kuishi.
 
Attachments

  • Screenshot_20201019_082855.jpg
    Screenshot_20201019_082855.jpg
    58.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201019_072525.jpg
    Screenshot_20201019_072525.jpg
    61.7 KB · Views: 1
Ndio maana Odinga anaheshimika Kenya huwezi ona anafungwa au kupigwa biti kma wapinzani wa TZ. Maana kule wanajua mziki wake, unakuta tu shangazi yako kang'olewa kucha unadhani utaendelea na upuuzi.

Shida huku wanajua wapinzani ni wapole na hawawezi fanya lolote sababu hawana jeshi. Ila siku ikitokea ''Los Pepes'' ikianza ndio utaona wanavyoshika adabu.
Hiyo approach naiona ikianza kufanya kazi hapa nchini very soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom