Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tih is what we call, runing a government like family mattersHeri James
Doto James
James mayanga
Hiyo ndio inner cycle
Kuchinja watu sio kuzuri ila watu kama doto wanastahili hiyo adhabuSiyo huyo tu kuna mwingine anaitwa single Leonard yaani ukisikia anamkaripia Lissu au Zitto utadhani cjui jamaa ni mkuu wa majeshi ya Afrika.
Na ndio maana magu anawadharau, anateua wapinzani huku wenyewe wakibaki kupiga kelele majukwaani.
Colombia kuna style ya Los Pepes yaani mwanasiasa wa chama tawala hta hawahangaiki naye. Wanamchinja mwanae kama kuku, unadhani upuuzi utaendelea?
Kuna watu wanakera sana na hapa hutoona NEC au viongozi wa Dini wanapiga kelele.
Mkuu mugah di mathew ,huna haja ya kumjibu huyo sukule wa Lumumba.Heri James
Doto James
James mayanga
Hiyo ndio inner cycle
Nahusika na maneno niliyoandika .
Hapana sehemu yeyote nimesema hawa ni ndugu ,hiyo tafsiri ni yako peke yako
Ndio maana Odinga anaheshimika Kenya huwezi ona anafungwa au kupigwa biti kma wapinzani wa TZ. Maana kule wanajua mziki wake, unakuta tu shangazi yako kang'olewa kucha unadhani utaendelea na upuuzi.Kuchinja watu sio kuzuri ila watu kama doto wanastahili hiyo adhabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wale wenye uwezo wa kumkosoa wamapigwa sole-tape na mahekalu ya ufukweni mwa bahari ya Hindi.Ccm wanamuogopa Sana sababu akupewa hicho cheo kwa kushinda kura bali ni amri ya mjomba wake, tuliwaonya Sana ccm katiba yao ndio kitanzi chao. Mambo ya kofia mbili ni hatari yalifaa vizazi vilivyopita. Mwenyekiti atakiwi kuwa na nguvu kuliko chama ataingiza maamuzi binafsi check Sasa kajaza ndugu zake kila sehemu na hakuna wa kumpinga.
Inatakiwa mwenyekiti wa chama asiwe raisi ili waweze kudhibitiana, yaani mfano raisi akikikosea chama anafukuzwa uanachama Kama ilivyo chama cha ZANU au ANC. Leo ccm imekua ni Mali binafsi ya mwenyekiti na genge lake Hadi kasajili wasio ijua hata ccm Wala siasa za ccm kina polepole na bashiru ambao awajui chochote kuhusu sayansi ya siasa zaidi ya mipasho. Hata mpangilio wa kampeni awajui awajui wamuandalie mgombea nn cha kuongea kulingana na mahitaji ya sehemu husika, unawaambia karatu au magu eti tanunua ndege tano, nimejenga flyover, SGR Hali wao hitaji lao kuu sio hivyo.
Wajifunze hata kwa chadema kampeni zao zimegusa mahitaji sahihi ya eneo husika. Eti wanamshauri mwenyekiti kununua wanaopigiwa kura badala ya wapiga kura. Ccm leo ni Mali binafsi ya ukoo fulani wengine ni wapenzi watazamaji tu. Katiba yao ndio kitanzi kwao
Kauli za katibu mkuu na James UVCCM siyo za kuzipuuza nadhani wamejipanga kuiba kuraWanajua kura watazipata kwa kuchakachua so wanajiamini.Rejea kauli ya Samia Suluhu Hassani kwamba hata mkipigia kwingine CCM ndio itaunda serikali.Ni kauli za watu waliokwisha kushindwa lkn wana jambo linalowapa matumaini.KUIBA KURA.
Wanufaika ni wachache hawawezi shindana na nguvu ya ummaNa wale wenye uwezo wa kumkosoa wamapigwa sole-tape na mahekalu ya ufukweni mwa bahari ya Hindi.
Ni moja ya mikakati yao ya Siri sema huyu ni roporopo,rejea kauli za atupeleki maendeleo kwa wapinzani alianza yeye kuropoka toka 2018,kabla ya mjomba wake kuzirejea this year na samia akakazia humohumo.Kauli za katibu mkuu na James UVCCM siyo za kuzipuuza nadhani wamejipanga kuiba kura
Wanasema wenye Ccm wanapeana mahekalu ila watoto yatima wanapewa kofia,khanga na T-shirt za chamaNa wale wenye uwezo wa kumkosoa wamapigwa sole-tape na mahekalu ya ufukweni mwa bahari ya Hindi.
Wapiga kura watoto wetu wanajengewa shule za kata zenye uhaba wa walimu wapigiwa kura watoto wao wanasoma Feza.Wanasema wenye Ccm wanapeana mahekalu ila watoto yatima wanapewa kofia,khanga na T-shirt za chama
Mtu muovu hawezi jificha 'selfimge is your mental picture generally resistance to changes built up over a period of time that makes what you are'Ni moja ya mikakati yao ya Siri sema huyu ni roporopo,rejea kauli za atupeleki maendeleo kwa wapinzani alianza yeye kuropoka toka 2018,kabla ya mjomba wake kuzirejea this year na samia akakazia humohumo.
Hata fece reading tu unauona uovu wa roho ya mauaji nyusoni mwao. walidhani wangeweza kuwasilence watu kwa kuwanyima haki ya kuishi.Mtu muovu hawezi jificha 'selfimge is your mental picture generally resistance to changes built up over a period of time that makes what you are'
Ashatumiwa clip ya tishio la mauaji wanadhani nchi ni Mali ya baba yaoRobert Amsterdam atamshitaki
Hiyo approach naiona ikianza kufanya kazi hapa nchini very soonNdio maana Odinga anaheshimika Kenya huwezi ona anafungwa au kupigwa biti kma wapinzani wa TZ. Maana kule wanajua mziki wake, unakuta tu shangazi yako kang'olewa kucha unadhani utaendelea na upuuzi.
Shida huku wanajua wapinzani ni wapole na hawawezi fanya lolote sababu hawana jeshi. Ila siku ikitokea ''Los Pepes'' ikianza ndio utaona wanavyoshika adabu.
Inawezekana albadili imeanza kufanya kazi, je nikweli watu huwa wananza kulopoka wenyeweHata fece reading tu unauona uovu wa roho ya mauaji nyusoni mwao. walidhani wangeweza kuwasilence watu kwa kuwanyima haki ya kuishi.