Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!



Huyu Mama ni kilaza tu, wala sioni umuhimu wake katika wizara anazo ongoza.
 

Tulia kijana ...alichonacho wewe huna
 
Wengine wanatumbuliwa; wenigne wakionesha udhaifu wanapelekwa kwingine wakapumzike!!
Hapa iko namna!!
 
Katika Mawaziri nilioona ni mizigo japo Mjomba hataki kuwatoa ni Angela Kairuki,Jenista Muhagama, na Naibu Waziri Juliana Shonza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…