Umepatia sana.......hii ni list ya mawaziri wanaosafiria nyota ya jinsia ya kike na kauli mbiu yao ya "wanawake tunaweza" hamna kitu pale.....zile namba zote ni chengaKatika Mawaziri nilioona na mizigo japo Mjomba hataki kuwatoa ni Angela Kairuki,Jenista Muhagama, na Naibu Waziri Juliana Shonza
Utakuwa unatokea /mwenyeji wa mikoa ya pwani!Mwanamke "kupwaya" ni neno tata.
Sahihi zaidi ungesema second first..Stop, this is first-second Lady!
ngoja nirekebishe, you are right
Kule mama alikuwa c/o, waziri alikuwa pogba mwenyeweKwenye madini alikuwa Hana idea kbsa,huyu mama ni kama anabebwa tu....
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, mume amepozwa na ubaloziHivi kama mumewe yupo humu mistake akaende kufumania ikawa aibu
Hahahaha watu tunapenda uchonganishi!!!Kama Kwako / Kwenu ni Mzigo tambueni kuwa kwa ' Binadamu ' mwingine huyo ni ' Tamu / Sukari / Asali ' yake ya ' Kibaiolojia ' iliyotukuka kabisa.
Huwezi kumtupa huyu mwanamama alitimiza kazi nzuri kwenye uhakiki wa watumishi hewa!View attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?
Kairuki ndani ya miaka 3:
Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Octoba 2017- Waziri wa Madini
Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.
Je, anahamishwa kama promotion au demotion?
Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
Tulia kijana ...alichonacho wewe huna
Angefaa kupewa waziri asiye na wizara maalumView attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?
Kairuki ndani ya miaka 3:
Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Octoba 2017- Waziri wa Madini
Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.
Je, anahamishwa kama promotion au demotion?
Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
Wengi wanatumbuliwa yeye anahamishwa tu labda ni spy.!
Oops!Angefaa kupewa waziri asiye na wizara maalum