Hukumbuki alivyosambaratisha kikundi cha washikaji 20,000 utumishi hana tofauti na wayahudi hakosei. Madini kamaliza kazi Biteko kazi yake ni kutekeleza uanzishaji wa Mineral centresAnaenda kuweka mipango then anahama..
Afadhali kumbe unamjua..anakusanya data..Hukumbuki alivyosambaratisha kikundi cha washikaji 20,000 utumishi hana tofauti na wayahudi hakosei. Madini kamaliza kazi Biteko kazi yake ni kutekeleza uanzishaji wa Mineral centres
Sisi tunaemjua kwa undani zaidi tunasema kwamba rangi yake ndiyo ngao yakeView attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?
Kairuki ndani ya miaka 3:
Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Octoba 2017- Waziri wa Madini
Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.
Je, anahamishwa kama promotion au demotion?
Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
Huyu dogo vipi jamani au ndo yule mtoto wa angela na nanihino.........Ngoja nisome SMS zake nitawajuza kinachomuweka busy hadi kuwa underperformer. View attachment 990475
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana sifa ya kuwa waziri lakini lazima awe kwenye system ili awe karibu.View attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?
Kairuki ndani ya miaka 3:
Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Octoba 2017- Waziri wa Madini
Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.
Je, anahamishwa kama promotion au demotion?
Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
Anabebwa!Wengi wanatumbuliwa yeye anahamishwa tu labda ni spy.!
Si ni afadhali iwe hivyo, kuliko DC anayekuweka mahabusu kabisa kukutoa njiani ili afaidi mali .Siku hizi Mkeo akitongozwa Na Mbunge unapeleka Malalamiko kwa Spika achukuliwe hatua
Anapwaya kila anapotupwaView attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?
Kairuki ndani ya miaka 3:
Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Octoba 2017- Waziri wa Madini
Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.
Je, anahamishwa kama promotion au demotion?
Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
Naanza kufikiria mara mbilimbili maneno ya damangeWengi wanatumbuliwa yeye anahamishwa tu labda ni spy.!
Alishawahi kuutamani uijiipii na baada ya wiki mshikaji akaramba za shingoLeo Mzee kasema kuna Nyakati anatamani awe Waziri wa Madini Na kamtangazia kabisa Waziri Mpya Kuwa akizingua atamzingua
Kwani huyo yupo singeri?Kikubwa tu usitume SMS kwenye namba ya Mh Angela Kairuki
Nasikia yuko usalama kïtambo tuMission completed, next ministry. Huyo ni kitengo muogope kama ukoma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaa mzee Ruksa alisha semaga hiyo kitu ipo pabayaUkishaonja asali huna jinsi lazima ukubali kupelekeshwa
Namuonea yule mwenye leseni halaliWee ushamuona kwa ukaribu Angela?
Hata Mie ninge ishia kumhamisha sio kumtumbua!
Huyo waziri ajiandae kisaikolojia kama haamini basi akamuulize yule siro wa singidaNaamini ipo siku ile wizara itakua chini yake.
Naona umesha bugia senene sasa unarohoja tuHuu uzi umekaa ki-facebook zaidi. Uzi wa kinadada wa instagram, utawaona wanaendesha magari kwa mkono mmoja na mwingine umekamata simu, unadhani labda wanatuma ujumbe wa maana kumbe ni umbeya kama huu kumhusu huyu dada.
Ila balozi wetu China ana kifuaUnaanza kwa Rais kwanza.!