Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
๐๐๐๐๐๐ Et eeeeehHapana sio KAZI yangu kubwa hiyo ๐
๐๐๐๐๐๐ Et eeeeehHapana sio KAZI yangu kubwa hiyo ๐
uko kwenye ndoa umefika mbali, kwenye talking stage tu, wanaume wengi wakiombwa elf 20 wanakimbia, na urafiki hawataki tena, hili swala hadi miss natafuta alilianzishiaga uzi realMamyMKE
Mwanamke anataka simu nzuri Iphone 15..........
Anataka mafuta ya mwilini kuanzia laki Moja......
Kusuka kuanzia 50k........
Kuvaa vizuri
Kula vizuri
Outing za maana.
Pesa ya matumizi.
Bado kusaidia wazazi wa mke๐
WATOTO
Watoto wavae vizuri kwa ajili maonyesho mtandaoni.
Kushindana na kina Zuchu.
Ada
Chakula kizuri.
MUME
Kodi
Mafuta ya Gari/Nauli
Gesi
Umeme
Maji
King'amuzi
Shopping ya Chakula
Vocha
Kuvaa
Pombe
Kuhonga
Kusaidia Familia yake
Kwa nini wasikimbie ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Eeeh kwahiyo kipaumbele chako ni unatafuta mtu wa kukutua mzigo na sio life partner MallerinaKwanini tukatae na mtu wa kututua mzigo amefika?
Anakimbia familia moja na kwenda kuanzisha familia nyingine?Tafakari!Siku hizi kwenye magroup ya wanawake, Wanalalamika sana wanaume kuwa achia watoto,
Na wao kutokomea kusikojilikana na kwenda kuanzisha family Nyingine huko. Je ni ugumu wa maisha,au gubu la mke,? Au ndo kuchokana?
Vitendo hivyo vya mwanaume kutimuliwa(Kukimbizwa)aghalabu hufanywa na wale wamama waliojipata kiuwezo na hufanywa indirectly kwa wamama kufanya vituko visivyo na sababu maalum e.g. kuchelewa kurudi nyumbani, kumjibu mwanaume kijeuri, kulazimisha aina/mtindo fulani wa maisha, kuwa na marafiki wasioeleweka na kuwakaribisha nyumbani bila taarifa kwa baba mwenye nyumba, kuweka hali ya ukimya au nununu kwa baba, kumkatalia baba unyumba ikiwemo kuzusha tetesi za uongo juu ya mienendo ya baba kimahusiano huko nje eti ana michepuko kibao n.k.n.k. Hapo mwanaume hata uwe mvumilivu kiasi gani utayield au kusurrender na kujiondokea zako. Cha kufia nnini?Itโs not as simple as that mdau. Mara nyingi wanakimbizwa, kicked out like dogs! Poor men, whoโs there to help them?! Lord have mercy on us menโฆ.