Nini kinasababisha watu wa Afrika Magharibi kuwa na miili mikubwa kuliko wengine?

Lishe nzuri inachangia hilo
Kwamba walikula vizuri pindi walipokuwa watoto? Mbona ukicheki wengi kipi di walipokuwa watoto wazazi wao walikuwa na maisha duni kiasi cha kushindwa kulea watoto wao katika lishe bora. Au ile west africa ndiyo mbegu halisi ya kiafrica sisi huku tumetoholewa tu na mambilikimo wale wa congo?
 
Ebwanaeeeee hata kama maisha ni magumu ngoja twendeleeee...

Nchi za afica magharibi, NIGERIA, GHANA, TOGO, IVORY COAST, SENEGAL nk..nk.

Sasa nimekumbuka mwanzoni mwa mwezi wa pili kuna mjomba wangu mmoja ni mfanyabiashara haswa na nilifanikiwa kurula nae sana hizo nchi tajwa hapo juu ambazo ziko upande wa africa magharibi na katika kuzurula huko nikagundua aisee..... wale jamaa wana miili mikubwa mno kuliko sisi tulio chini ya jangwa la sahara.

Unakutana na kijana tu miaka 17 ana futi 6 karibia na inch kama 3 hivi nikajiuliza sababu ni nini nikakosa, nikaanza na kurejea hata wachezaji wanaocheza ligi kubwa ulaya waliotoka hizo nchi wako hivyo ni magiant kuliko kina samata hawa.

Hata yale black basketball giants yanayotamba ligi ya kikapu NBA marekani chimbuko lao ni West Africa, hata ukifuatilia mababu ya kina lebron james yametoka huko huko. Huku kwetu shida nini wazee?

Tusaidiane mapema ili kuwakomboa watoto wetu na hili wimbi la umbilikimo.

BADO NAUMIZA KICHWA HUKU CHINI YA JANGWA LA SAHARA TATIZO NI NINI?

KAMA NI UMASIKINI NAO NI MASIKINI TU ILA SHIDA NINI HUKU KWETU????
Wasukuma nao..

Genetic phenotypes...
 
Kwenye lishe hapo ndo napata kigugumizi maana ukicheki na wao maisha yao ni kama ya huku tu kubangaiza kama sisi.
Nenda Singida angalia Kuku wao wa kienyeji, halafu njoo pwani angalia Kuku wao wa kienyeji utapata majibu.

Hata kwenye ndoa kuna vitu muhimu vya kimsingi watu hawazingatii lakini muhimu sana kuhusu hizi genetics na IQ za koo tunazooleana plus damu.

Watu wa Gambia wengi wana damu inaitwa delta 24 hawa wengi hawaambukizwi ukimwi, immunity zao virus vya ukimwi ukiwaambukiza wanageuka kuwa askari, na Tanzania watu hao wachache sana wapo huwezi kuwaambukiza ukimwi kwa namna yoyote ile.
 
Asili ya sisi waafrika weusi ni misitu ya Cameroon....hao wa afrika magharibi walibaki karibu na huko...

Wenzao walioshuka kusini Kati na mashariki waliishia MISITU YA KONGO....hapa ndipo walipoanza kuwa na vimo vifupi ...na kutokea hapo wakashuka huku afrika ya mashariki na kusini mwa afrika ambapo vimo vyetu vinafanana....

Kusafiri kwa muda mrefu(kukosa vyakula vyenye virutubisho)....ng'ombe kufa njiani na kuanza kukosa MAZIWA ,VIAZI VITAMU,UGALI WA MTAMA kukawafanya kuwa "andunje" [emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Ebwanaeeeee hata kama maisha ni magumu ngoja twendeleeee...

Nchi za afica magharibi, NIGERIA, GHANA, TOGO, IVORY COAST, SENEGAL nk..nk.

Sasa nimekumbuka mwanzoni mwa mwezi wa pili kuna mjomba wangu mmoja ni mfanyabiashara haswa na nilifanikiwa kurula nae sana hizo nchi tajwa hapo juu ambazo ziko upande wa africa magharibi na katika kuzurula huko nikagundua aisee..... wale jamaa wana miili mikubwa mno kuliko sisi tulio chini ya jangwa la sahara.

Unakutana na kijana tu miaka 17 ana futi 6 karibia na inch kama 3 hivi nikajiuliza sababu ni nini nikakosa, nikaanza na kurejea hata wachezaji wanaocheza ligi kubwa ulaya waliotoka hizo nchi wako hivyo ni magiant kuliko kina samata hawa.

Hata yale black basketball giants yanayotamba ligi ya kikapu NBA marekani chimbuko lao ni West Africa, hata ukifuatilia mababu ya kina lebron james yametoka huko huko. Huku kwetu shida nini wazee?

Tusaidiane mapema ili kuwakomboa watoto wetu na hili wimbi la umbilikimo.

BADO NAUMIZA KICHWA HUKU CHINI YA JANGWA LA SAHARA TATIZO NI NINI?

KAMA NI UMASIKINI NAO NI MASIKINI TU ILA SHIDA NINI HUKU KWETU????
Ghana mbona wafupi wengi sana km bongo? Watu warefu mostly ni senegal na mali
 
Nenda Singida angalia Kuku wao wa kienyeji, halafu njoo pwani angalia Kuku wao wa kienyeji utapata majibu.

Hata kwenye ndoa kuna vitu muhimu vya kimsingi watu hawazingatii lakini muhimu sana kuhusu hizi genetics na IQ za koo tunazooleana plus damu.

Watu wa Gambia wengi wana damu inaitwa delta 24 hawa wengi hawaambukizwi ukimwi, immunity zao virus vya ukimwi ukiwaambukiza wanageuka kuwa askari, na Tanzania watu hao wachache sana wapo huwezi kuwaambukiza ukimwi kwa namna yoyote ile.
[emoji2956]
 
Back
Top Bottom