Nini kinasababisha watu wa Afrika Magharibi kuwa na miili mikubwa kuliko wengine?

Nini kinasababisha watu wa Afrika Magharibi kuwa na miili mikubwa kuliko wengine?

Enzi za ukoloni kwenye biashara ya utumwa waarabu walikuwa wanachagua wanaume wenye vimo vikubwa na wenye nguvu. Baada ya kutumikishwa huko ulaya na uarabuni wasalia yao waliuwawa wote.

Ila waafrika magharibi walichukuliwa utumwa bara la marekani wengi walibaki na kuendeleza kizazi hiki ambacho leo tunakiita black Americans.

Ila kumbuka hakuna black Arabian au black European
 
Ghana mbona wafupi wengi sana km bongo? Watu warefu mostly ni senegal na mali
Ukiongelea watu warefu afrika ni wale kabila la Dinka (Dinka People). Tena sio Africa tu, ni jamii ya watu warefu zaidi dunian. Wanapatikana Ehiopia huko nenda kawatafute mtandaoni au hata youtube utaona.

Hao jamaa kukuta wilaya nzima watu wote wana futi 7 inch 3 na kuendelea ni kawaida. Si wanawake, si wanaume. Ila hapa tunawazungumzia ule ukanda wa west Africa, na una zaidi ya nchi tano na sio jamii tu ya watu fulani.
 
1693414195473.png

Omas jamaa ni mkubwa kweli kweli.
 
Nenda Singida angalia Kuku wao wa kienyeji, halafu njoo pwani angalia Kuku wao wa kienyeji utapata majibu.

Hata kwenye ndoa kuna vitu muhimu vya kimsingi watu hawazingatii lakini muhimu sana kuhusu hizi genetics na IQ za koo tunazooleana plus damu.

Watu wa Gambia wengi wana damu inaitwa delta 24 hawa wengi hawaambukizwi ukimwi, immunity zao virus vya ukimwi ukiwaambukiza wanageuka kuwa askari, na Tanzania watu hao wachache sana wapo huwezi kuwaambukiza ukimwi kwa namna yoyote ile.
Duffy blood group
 
Ebwanaeeeee hata kama maisha ni magumu ngoja twendeleeee...

Nchi za afica magharibi, NIGERIA, GHANA, TOGO, IVORY COAST, SENEGAL nk..nk.

Sasa nimekumbuka mwanzoni mwa mwezi wa pili kuna mjomba wangu mmoja ni mfanyabiashara haswa na nilifanikiwa kurula nae sana hizo nchi tajwa hapo juu ambazo ziko upande wa africa magharibi na katika kuzurula huko nikagundua aisee..... wale jamaa wana miili mikubwa mno kuliko sisi tulio chini ya jangwa la sahara.

Unakutana na kijana tu miaka 17 ana futi 6 karibia na inch kama 3 hivi nikajiuliza sababu ni nini nikakosa, nikaanza na kurejea hata wachezaji wanaocheza ligi kubwa ulaya waliotoka hizo nchi wako hivyo ni magiant kuliko kina samata hawa.

Hata yale black basketball giants yanayotamba ligi ya kikapu NBA marekani chimbuko lao ni West Africa, hata ukifuatilia mababu ya kina lebron james yametoka huko huko. Huku kwetu shida nini wazee?

Tusaidiane mapema ili kuwakomboa watoto wetu na hili wimbi la umbilikimo.

BADO NAUMIZA KICHWA HUKU CHINI YA JANGWA LA SAHARA TATIZO NI NINI?

KAMA NI UMASIKINI NAO NI MASIKINI TU ILA SHIDA NINI HUKU KWETU????
Miili mikubwa lakini kichwani watupu. Bora sisi maandunje IQ zetu ni thabiti
 
Mwaka 2016 nikiwa Kampala katika night club ya Gurvunor eneo la VIP nilikuta wapopo ambapo VIP nzima mimi ndio nilionekana mfupi na sina mwili
 
Back
Top Bottom