Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Sisi tuna miili ya Buwaliwali na chips mayai. Na mbegu nayo ya hivyo hivyo.Ebwanaeeeee hata kama maisha ni magumu ngoja twendeleeee...
Nchi za afica magharibi, NIGERIA, GHANA, TOGO, IVORY COAST, SENEGAL nk..nk...
Lishe nzuri inachangia hiloEbwanaeeeee hata kama maisha ni magumu ngoja twendeleeee...
Nchi za afica magharibi, NIGERIA, GHANA, TOGO, IVORY COAST, SENEGAL nk..nk...
Wanegro wenyewe walitoka wapi mzee, hawakuja huku bongo??Wabantu ni mashombe kati ya Wanegro, wa Afrika magharibi, na Wahamiti wa kaskazini Mashariki ya Africa na Wapygmy wa Africa ya kati...
Kwenye lishe hapo ndo napata kigugumizi maana ukicheki na wao maisha yao ni kama ya huku tu kubangaiza kama sisi.LISHE
Kwamba walikula vizuri pindi walipokuwa watoto? Mbona ukicheki wengi kipi di walipokuwa watoto wazazi wao walikuwa na maisha duni kiasi cha kushindwa kulea watoto wao katika lishe bora. Au ile west africa ndiyo mbegu halisi ya kiafrica sisi huku tumetoholewa tu na mambilikimo wale wa congo?Lishe nzuri inachangia hilo
They called NyashAnd some women will say they have big mishedede[emoji1787][emoji1787]
Ww unaweza Kula majani ya mbuyu, konokono na kenge na mamba?[emoji1787][emoji1787]Bila kusahau sauti kubwa kubwa.
Ndizi, majani ya mibuyu, konokono, kenge ...vyakula vyao vya asili pia hawana stress kama sisi Wauza bandari.
Genetic kama ambavyo unawaona wachina majority ni wafupi na macho Yao kama pakaKwamba wale wana lishe nzuri kuliko sisi huku? Mbona nao maisha yao ni magumu tu!!!
Waluguru Toka lini wawe na miili mikubwaNina swali kama hilo pia kwa wazalamo, kwanini hakuna wazalamo wenye miili mikubwa? Wazalamo wenye miili mikubwa wameanza kupatika siku za karibuni.
Wasukuma nao..Ebwanaeeeee hata kama maisha ni magumu ngoja twendeleeee...
Nchi za afica magharibi, NIGERIA, GHANA, TOGO, IVORY COAST, SENEGAL nk..nk.
Sasa nimekumbuka mwanzoni mwa mwezi wa pili kuna mjomba wangu mmoja ni mfanyabiashara haswa na nilifanikiwa kurula nae sana hizo nchi tajwa hapo juu ambazo ziko upande wa africa magharibi na katika kuzurula huko nikagundua aisee..... wale jamaa wana miili mikubwa mno kuliko sisi tulio chini ya jangwa la sahara.
Unakutana na kijana tu miaka 17 ana futi 6 karibia na inch kama 3 hivi nikajiuliza sababu ni nini nikakosa, nikaanza na kurejea hata wachezaji wanaocheza ligi kubwa ulaya waliotoka hizo nchi wako hivyo ni magiant kuliko kina samata hawa.
Hata yale black basketball giants yanayotamba ligi ya kikapu NBA marekani chimbuko lao ni West Africa, hata ukifuatilia mababu ya kina lebron james yametoka huko huko. Huku kwetu shida nini wazee?
Tusaidiane mapema ili kuwakomboa watoto wetu na hili wimbi la umbilikimo.
BADO NAUMIZA KICHWA HUKU CHINI YA JANGWA LA SAHARA TATIZO NI NINI?
KAMA NI UMASIKINI NAO NI MASIKINI TU ILA SHIDA NINI HUKU KWETU????
Nenda Singida angalia Kuku wao wa kienyeji, halafu njoo pwani angalia Kuku wao wa kienyeji utapata majibu.Kwenye lishe hapo ndo napata kigugumizi maana ukicheki na wao maisha yao ni kama ya huku tu kubangaiza kama sisi.
Ghana mbona wafupi wengi sana km bongo? Watu warefu mostly ni senegal na maliEbwanaeeeee hata kama maisha ni magumu ngoja twendeleeee...
Nchi za afica magharibi, NIGERIA, GHANA, TOGO, IVORY COAST, SENEGAL nk..nk.
Sasa nimekumbuka mwanzoni mwa mwezi wa pili kuna mjomba wangu mmoja ni mfanyabiashara haswa na nilifanikiwa kurula nae sana hizo nchi tajwa hapo juu ambazo ziko upande wa africa magharibi na katika kuzurula huko nikagundua aisee..... wale jamaa wana miili mikubwa mno kuliko sisi tulio chini ya jangwa la sahara.
Unakutana na kijana tu miaka 17 ana futi 6 karibia na inch kama 3 hivi nikajiuliza sababu ni nini nikakosa, nikaanza na kurejea hata wachezaji wanaocheza ligi kubwa ulaya waliotoka hizo nchi wako hivyo ni magiant kuliko kina samata hawa.
Hata yale black basketball giants yanayotamba ligi ya kikapu NBA marekani chimbuko lao ni West Africa, hata ukifuatilia mababu ya kina lebron james yametoka huko huko. Huku kwetu shida nini wazee?
Tusaidiane mapema ili kuwakomboa watoto wetu na hili wimbi la umbilikimo.
BADO NAUMIZA KICHWA HUKU CHINI YA JANGWA LA SAHARA TATIZO NI NINI?
KAMA NI UMASIKINI NAO NI MASIKINI TU ILA SHIDA NINI HUKU KWETU????
[emoji2956]Nenda Singida angalia Kuku wao wa kienyeji, halafu njoo pwani angalia Kuku wao wa kienyeji utapata majibu.
Hata kwenye ndoa kuna vitu muhimu vya kimsingi watu hawazingatii lakini muhimu sana kuhusu hizi genetics na IQ za koo tunazooleana plus damu.
Watu wa Gambia wengi wana damu inaitwa delta 24 hawa wengi hawaambukizwi ukimwi, immunity zao virus vya ukimwi ukiwaambukiza wanageuka kuwa askari, na Tanzania watu hao wachache sana wapo huwezi kuwaambukiza ukimwi kwa namna yoyote ile.
Inaweza kuwa kweli maana wanyakyusa wengi wanafanana na NigeriansUsikute na wanyakyusa asili yao ni West Africa
That's true especially wa Ghana na wa Togo.Hamissa Mobeto atakuwa anamfaidi Kévin mtogolais.And some women will say they have big mishedede🤣🤣
Wabantu wote wametokea Cameroon ...Inaweza kuwa kweli maana wanyakyusa wengi wanafanana na Nigerians