Nini kinasababisha watu wa Afrika Magharibi kuwa na miili mikubwa kuliko wengine?

Enzi za ukoloni kwenye biashara ya utumwa waarabu walikuwa wanachagua wanaume wenye vimo vikubwa na wenye nguvu. Baada ya kutumikishwa huko ulaya na uarabuni wasalia yao waliuwawa wote.

Ila waafrika magharibi walichukuliwa utumwa bara la marekani wengi walibaki na kuendeleza kizazi hiki ambacho leo tunakiita black Americans.

Ila kumbuka hakuna black Arabian au black European
 
Ghana mbona wafupi wengi sana km bongo? Watu warefu mostly ni senegal na mali
Ukiongelea watu warefu afrika ni wale kabila la Dinka (Dinka People). Tena sio Africa tu, ni jamii ya watu warefu zaidi dunian. Wanapatikana Ehiopia huko nenda kawatafute mtandaoni au hata youtube utaona.

Hao jamaa kukuta wilaya nzima watu wote wana futi 7 inch 3 na kuendelea ni kawaida. Si wanawake, si wanaume. Ila hapa tunawazungumzia ule ukanda wa west Africa, na una zaidi ya nchi tano na sio jamii tu ya watu fulani.
 
Duffy blood group
 
Miili mikubwa lakini kichwani watupu. Bora sisi maandunje IQ zetu ni thabiti
 
Mwaka 2016 nikiwa Kampala katika night club ya Gurvunor eneo la VIP nilikuta wapopo ambapo VIP nzima mimi ndio nilionekana mfupi na sina mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…