Nini kinasababisha watu wa Afrika Magharibi kuwa na miili mikubwa kuliko wengine?

Sisi tunashindia chips yai la kisasa wale wanashindili ugali wa mhogo asubuhi na jioni viazi vikuu lazima wame na miili mikubwa.

Kwa kifupi sisi lishe duni. N hata tukipata vyakula ni vile ambavyo havina faida mwilini
 
Hawa wa huku kwetu ukimkuta mrefu basi mwembambaaa,tofaut na hao wanao miili ya kiuanaume halisia[emoji4][emoji4][emoji2960][emoji2960][emoji2960],nadhan wao wakakula sanaaa vyakula vya asili kuliko huku
Acha dharau weweeeeeee


Kwa hiyo sisi wafupi wenye miili ya kibishi sio wanaume halisia!!!
 
Wabantu walianzia Africa Magharibi. Kwenye milima ya mpakani mwa Kameruni na Nigeria. Wengine wakabaki huko na kuelekea magharibi, na wengine wakaja huku kusini. Hawa waliokuja huku kusini wakakutana na mbilikimo kwenye misitu ya Congo na kuzaliana nao. Kizazi kilichotoka ndiyo sisi huku wenye umbilikimo ndani yetu. Watu wa mgharibi hawakuchanganyikana na mbilikimo. Kuna makabila mchanganyiko huo ni mkubwa zaidi, makabila kama Waluguru, Wasafwa, Wapare, Wazaramo nk.
 
Ila wanasema hali ya kiikweta ila asili ya kuwafanya watu wawe na miili mikubwa kutokana na miili yao kupata mwanga wa jua wa kutosha unaotoka directly kwenye jua 90Β°. Hata kanda ya ziwa ina watu wengi wenye asili ya miili mikubwa. Pia kuna sababu za kilishe, kwa sasa hata vyakula vyetu tunavyokula ni duni.
 
hata appearance za sura zetu ni tofauti kidogo na sisi east africans, kwahiyo swali hilo hilo ungejiuliza kwanini east africans au waafrica wana miili mikubwa kuliko wahindi na wachina, hapo ndio utajua Mungu aliamua kuumba watu wa aina mbalimbali. pia, vyakula vilichangia kufanya miili kuwa mikubwa. mfano, west africans waliochukuliwa utumwa wakapelekwa marekani ni wakubwa kuliko wale wanaozaliana west africa kwa sasa kwasababu ya aina ya vyakula vinavyoliwa marekani. pia, kwa hapa bongo, angalia wanyakyusa, wahaya na wasukuma, hao watu wanavyo vyakula vingi na miili yao unaijua ilivyo. ukija kwa wenzetu wambulu au wanyaturu au watu wa maeneo ya kati pale warangi etc, ni maeneo yasiyo na chakula, pakame, miili yao unaijua, ni ya njaa.
 
hata appearance za sura zetu ni tofauti kidogo na sisi east africans, kwahiyo swali hilo hilo ungejiuliza kwanini east africans au waafrica wana miili mikubwa kuliko wahindi na wachina, hapo ndio utajua Mungu aliamua kuumba watu wa aina mbalimbali. pia, vyakula vilichangia kufanya miili kuwa mikubwa. mfano, west africans waliochukuliwa utumwa wakapelekwa marekani ni wakubwa kuliko wale wanaozaliana west africa kwa sasa kwasababu ya aina ya vyakula vinavyoliwa marekani. pia, kwa hapa bongo, angalia wanyakyusa, wahaya na wasukuma, hao watu wanavyo vyakula vingi na miili yao unaijua ilivyo. ukija kwa wenzetu wambulu au wanyaturu au watu wa maeneo ya kati pale warangi etc, ni maeneo yasiyo na chakula, pakame, miili yao unaijua, ni ya njaa. hata akili zinakuwaga chache.
 
Wanabugia kakao kwa wingi.
 
Sipati picha hii damu ya wagambia angeipata mzabzab
 
Sasa wote tukiwa warefu nani atakuwa mfupi...?
 
Wachezaji wao nao ni wakubwa giant kulinganisha na wachezaji wetu wa ukanda wa afrika mashariki. Timu zikicheza utawaonea huruma wachezaji wetu kwa udogo mbele ya hao wenye miili mikubwa
 
hao ni hybrid baada ya nchi zao kuathiriwa na ukoloni
 
Kweli kbs huwa najiuliza watumwa waliopelekw Nchi za kiarabu na ulaya why hakuna mabaki ya vizazi vyao nikagundua waarabu walikua wanawahasi watumwa...ndio Mana huwa nawachukia Sana wazungu na waarabu walitufanyia ufedhuli wa kutisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…