Nini kinasababisha watu wa Afrika Magharibi kuwa na miili mikubwa kuliko wengine?

Hiźo nchi za Afrika magharibi ulizozitaja ni ipi ipo juu ya jangwa la sahara?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Lishe duni, no discussion
 
Hiźo nchi za Afrika magharibi ulizozitaja ni ipi ipo juu ya jangwa la sahara?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kujua location za nchi haihitaji shule, Ni wewe unaona kila kitu in negative way, (ujuaji tunaita)
 
Watumeni dada zenu Usukumani waje wachukue mbegu!
 
Hata ndani ya Tz tu, kadri unavyotoka Pwani ya Tz kwenda Magharibi, uimara wa miili ya watu unaongezeka, vuka ziwa fika Kongo. Mzaramo na Mmanyema.

Nafikiri kuna Siri katika kutangulia kuliona jua au Uoto wa Pwani ya Mashariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…