PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,555
- 3,823
Labda tofauti ni cpc wanaipenda sana china kuliko ccm wanavyoipenda TanganyikaCCM sio kama CCP ya China, Kuna tofauti kubwa sana kuanzia namna viongozi wao wanavyopatikana, maamuzi yanavyofanyika na nani mwenye ushawawishi kwenye chama.