Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Wenda hata huo utamaduni hatuna kwa sababu ukiturudisha nyuma miaka mingi tunarudi wapi ? Kwenye vikabila vidogo vidogo visivyo na connection yoyote ni kipi kinacho tuunganisha kitamaduni bila influence ya ukoloni kuja Kwenye maeneo yetu ?Unakubali kwamba utamaduni wetu ni duni/ dhaifu/ inferior/ immature kuliko wa East Asia ?
Ni kipi kinacho tupush sisi kutoka hapa tulipo hata tukirudi nyuma miaka mingi na kujifunza kipi bora wazee wetu walifanya kwa nchi yetu wenda hata hiyo Tanganyika haitakuwepo
Who are our greatest scholars ? Do you know any ?