Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Jamaa lakini wanapenda biashara badala ya kuajiriwaShabib na Abood ni waarabu. Kama wale wa Igunga, Nzega, Tabora, Kahama, Bariadi na kijiji maarufu pembezoni wa ziwa Victoria, kinaitwa Kayenze π π π π
Jamaa lakini wanapenda biashara badala ya kuajiriwa
Umemsoma mleta mada vizuri!??Ubunge si ajira rasmi, Shabib na Abood wapo bungeni kwa maslahi yao binafsi kijana.
Ukitaka kufanya biashara bila bughudha katika nchii hii kuwa karibu na Serikali - au ulikuwa na hili hulijui hadi leo.
πππππAisee kuna msukuma ana nywele shombeee!??ACha kutaja wasukuma hao
Wakuu,
Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.
Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,
Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,
Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.
Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Wengi sana nenda mwanzaπππππAisee kuna msukuma ana nywele shombeee!??
Acha hizo.
Hao ni walowezi wa kiarabu ndani ya Tanzania.Wengi sana nenda mwanza
Shabib na Abood ni waarabu. Kama wale wa Igunga, Nzega, Tabora, Kahama, Bariadi na kijiji maarufu pembezoni wa ziwa Victoria, kinaitwa Kayenze π π π π
Salim Ahmed Salim.Mkuu si kweli, katibu mtendaji baraza la mitihani ni Gabachori,pia Kuna mbuge wa kahama Jimbo la Solwa miaka ya tisini nikiwa huko alikuwa pure Gabachori,nadhani aliitwa Bhiku Lukindagila miaka hiyo nikiishi Segese- KahaSa
Nadhani amepatia kuuliza hivyohivyo, na kuna sababu za msingi kwanini hawataki kufanya kazi serikalini
Zamani kulikuwa na walimu Wahindi kwenye shule za kata, vipi leo
Wewe ukijiweza utang'ang'ania kuishi uswazi ili uonekane mtanzania halisi ?
Nyinyi ndio mbulula wenyewe na pamoja mwingine amekukwoti na kumtaja Salim Ahmed Salim
Huyo wa NECTA anaugabachori gani?
Ni kwa vile kama ulivyojieleza ni wewe ni mlugaluga umetokea maporini huko na kuja mjini na kushangaa
Wanaokaa mijini iwe Dar, Mwanza au Arusha na Moshi wanauwezo kusema kumtaja mtu ni gabachori sababu wageni wa kuja wanajuklikana,
Sisi tumesoma nao, tumecheza nao hivyo tunajua kuwatofautisha sio nyinyi wa maporini, kila ukiona mtu ana rangi nyeupe ni gabachori
Huyo Bhiku namjua sana mpaka kwake Upanga mtaa wa Mindu tokea nasoma primary
..mtoa mada angeuliza kwanini ndugu zetu wenye asili ya Uarabuni au India hatuishi nao Uswazi?
Mada hii ya kijinga kweli hata mtoto wa sekondari akisoma atashangaa watu wazima tunajadili hili, anyway.
Huwa mnasema Kuajiriwa utumwa,huwezi kutajirikia kwa Kuajiriwa..
Tuangalie list ya matajiri kumi Bora Tanzania,Kuna mmatumbi??wangapi??je wahindi na waarabu??..
Take home za laki nne chukueni nyinyi...nimesoma na muhindi anajua hisabati kupita maelezo,.masomo yote A+ Baba yake ana duka dogo la dhaabu ni Sonara,dogo form 4 katoka na 1.7 .hakwenda advance kakaa na mzee wake dukani...
Nenda Kwao PUNJABU uone kama Kuna hata balozi wa nyumba 10 toka Tz,Wakuu,
Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.
Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,
Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,
Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.
Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Ushamba tu mwingi, kwanini sasa Mtanzania awe Na position India? Hapa mada inahusu WaTanzania wenye Asili ya India na sio wahindi wa India.Nenda Kwao PUNJABU uone kama Kuna hata balozi wa nyumba 10 toka Tz,