Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

Hongera kwa Utafiti mzuri,kwa maoni yangu na kutokana na Uchunguzi mdogo niliofanya ni kuwa Jamii kubwa ya watua wenye asili ya Asia wana uraia pacha,wanatambulika na jamii zao mpaka hapo wanapoukana Uraia wa babu zao na kuukubali Utanzania,Mfano ni aliyeshindwa Kesi na Dr Warid Kabouru Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mahakama ilitengua Ubunge wa Premji kwa kuwa hakuwa ameukana Uraia wa India hii ilikuwa early 1992 na ikapelekea Dr Warid Kabouru kuingia Bungeni
 
Labda ufanye kazi katika ofisi zao na makampuni yao ni sawa hata cheo utapata.
Ila serikalini BIG NO kwa Asia upate uongozi na wewe kutoka Afrika!?
Labda uwe umechanganya asili au uwe umetoka kwa kina Hakimi(Morocco).
Wapo, Sisi Tanzania media zetu ni za magharibi tu ndio maana mtu Huwajui,

Saudia, Yemen, Iraq na Oman ina watu weusi in Millions, kuna weusi wengi huko kuliko weupe huku Tanzania ukiangalia kwa Ratio.

Al habsy yule golikipa wa Oman aliecheza sana Premier league alikua Mtanzania, Hapo Qatar na Saudi World cup umeona weusi kibao wengine hadi kutoka Tanzania. Wafalme wa Oman wengi wana asili za Ethiopia/Zanzibar na tumemuona Qaboos, mfalme wa Quwait miaka ya 70-2003 alikua mweusi etc.

Hapo bado hujakuja wanamuziki Kina abdel rab Idris, Etab etc Kuna wafanyabiashara wakubwa kama Al Amoud etc. Inshort title Ya mtu mweusi Tajiri zaidi Duniani wanapokezana Baina ya Dangote na Al Amoud,
 
Jambo ambalo huja sema hawasomi form four na six bali wanasoma mtaala wa Uingereza Cambridge toka wadogo, so wanachukuliwa Nchi za common wealth sio sababu ya rangi yao bali elimu yao, sababu toka wadogo wameandaliwa hivyo.
 
Dada ndo umeparamia Uzi ila kwakuwa wewe ni kilaza hujalingundua Hilo ukisoma tena Uzi utagundua jinsi gani ubongo wako unavyosuasua kuelewa mada
Bado wewe akili yako ya KUVUKIA BARABARA, issue ni wahindi ,waasia kutoenekana kwenye nafasi za kuteuliwa.

Nikajibu PUNJABU India Kuna mwafrika, mtanzania ameteuliwa kwenye nafasi??


Kama hayupo unashangaa Nini hapa TZ???

Waashia wanapatikana katika nafasi za siasa wabunge.

Lakini sio za kutendaji.

Wewe kwa UJINGA wako wa kutoelewa unaleta mfano picha ya wahindi wenye rangi nyeusi.Completely out of context, out of proportional πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£

Angalia we Mwanamke usiparamie nyuzi kujibu,utapata Mimba nyingine TenaπŸ˜€πŸ€£πŸ˜€πŸ€£BOYA MKUBWA WEWE
 
Waliamua kujikita,kwenye masuala binafsi zaidi
Mambo ya kiserikali wamewachia wenyewe,ila nao kwa wakati huu nao walikuwa wanahitajika sana
Kwenye mambo ya uongozi

Ova
 
Kwani huku ni Asia?
 
Malezi yetu na mifumo yetu ni ya kijinga kuanzia ngazi ya kaya
 
N
Nyerere alimweka Amr Jamal. Ila mafisadi hawataki!
 
Wabongo, fikirieni nje ya box. Serikalini kuna hela gani Hadi uwaajili hawa Jamaa? Kule mabungeni wanazuga tu kulinda Biashara zao.
Wengine humu wanakenua eti shabibi Ni mbunge, we unaona ana njaa ya ubunge Yule. Mtu ana mabasi 100 unasema ana ajila serikalini! Nchi hii watu wamelala aisee!
 
Wao kazi yao ni Udalali tu.

Si unajua dalali ndio anapata faida kulilo wafanya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…