Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kila Sentensi Uliyoiandika ni DHAHABU TUPU....Vijana wa kibongo wake/waume wa kibongo kukimbilia kuolewa, ndio ndoto kubwa kwao sababu ya kutokua na ndoto zao wanaanza kutimiza ndoto za watu wengine( wazazi, ndugu, marafiki).
Demu akifika 30 anaitwa mzee hawezi kuolewa, ana force kuolewa na mtu yoyote yule pasipo kujipanga mwisho, anajikuta kaingia sipo yanaanza majuto.
Kuzaa majaliwa na mipango ikae sawa sababu malezi sio kitu rahisi, uwezo wa kipato, mtu sahihi, muda sahihi, watu wamekimbilia kuzaa kulea kumewashinda, watoto wamejazana mtaani, wezi vibaka, wadangaji kibao, mama, baba na mtoto wote mnadanga.
Hizi ni mind set za kiafrica ambazo lazima tuachane nazo, mzazi usilazimishe mtoto aoe au aolewe mwache afanye kwa muda wake, kuzaa sio lazima timiza malengo yako ndoto zako kwanza, hili uzao wako usipitie majuto ya kuzaliwa na wewe uhakika wa elimu, afya..
Kila mtu afanye maisha kwa namna yake, ashinde mechi zake, usiiishi ndoto za mtu mwingine hata kama ni mzazi wako.
Hatuwezi wote tukafanya vitu vinavyonana tukapata matokeo tofauti.
Big up kwa salama na jay dee, mungu awajalie mkipata watoto kheri mkikosa kheri vilevile, hakuna kesi wala dhambi.
Facts .....Watu wa vijijini mnajua uanaume ni ngono tu. Ni rahisi kwenu kua na akili hizo maana bajeti ya familia yako ya watoto nane kwa mwaka ni ndoo kubwa ya mahindi na kisado cha maharage.
Watoto hupeleki shule unasubiri kumzeesha kwa kumuozesha kwa kigagula chochote hapo kijijini.
Umeongea hekima sana ..big up mkuuVijana wa kibongo wake/waume wa kibongo kukimbilia kuolewa, ndio ndoto kubwa kwao sababu ya kutokua na ndoto zao wanaanza kutimiza ndoto za watu wengine( wazazi, ndugu, marafiki).
Demu akifika 30 anaitwa mzee hawezi kuolewa, ana force kuolewa na mtu yoyote yule pasipo kujipanga mwisho, anajikuta kaingia sipo yanaanza majuto.
Kuzaa majaliwa na mipango ikae sawa sababu malezi sio kitu rahisi, uwezo wa kipato, mtu sahihi, muda sahihi, watu wamekimbilia kuzaa kulea kumewashinda, watoto wamejazana mtaani, wezi vibaka, wadangaji kibao, mama, baba na mtoto wote mnadanga.
Hizi ni mind set za kiafrica ambazo lazima tuachane nazo, mzazi usilazimishe mtoto aoe au aolewe mwache afanye kwa muda wake, kuzaa sio lazima timiza malengo yako ndoto zako kwanza, hili uzao wako usipitie majuto ya kuzaliwa na wewe uhakika wa elimu, afya..
Kila mtu afanye maisha kwa namna yake, ashinde mechi zake, usiiishi ndoto za mtu mwingine hata kama ni mzazi wako.
Hatuwezi wote tukafanya vitu vinavyonana tukapata matokeo tofauti.
Big up kwa salama na jay dee, mungu awajalie mkipata watoto kheri mkikosa kheri vilevile, hakuna kesi wala dhambi.
...hatuwezi wote tukafanya vitu vinavyofanana na kupata matokeo TOFAUTI!!Umeongea hekima sana ..big up mkuu
Si uje uwawekee wewe hiyo kitu kama wa Dar wameshindwa? Lakini mbona Gadner ana mtoto, au amechomekewa?Nimeona kwenye interview ya Salama na Jay Dee Salama na Jay Dee wote wamekiri kuwa hawana watoto. Najua hawa wote wameshafika 40+. wanaume wa Darisalama mnafeli wapi??
Uzi tayari.
Yeap ni kwel ndugu cha msingi ni kuacha waishi maisha yao kwa maana hayatupunguzii chochote wala kutuongezea..cha msingi sisi ni binadamu tu haijalishi...hatuwezi wote tukafanya vitu vinavyofanana na kupata matokeo TOFAUTI!!
yap hasa kwa jay dee nina uhakikaJah awasaidie wapate watoto, naamini watatimiziwa hilo.
Tuambie jina la kigagula aliyemzaa baba ako.Watu wa vijijini mnajua uanaume ni ngono tu. Ni rahisi kwenu kua na akili hizo maana bajeti ya familia yako ya watoto nane kwa mwaka ni ndoo kubwa ya mahindi na kisado cha maharage.
Watoto hupeleki shule unasubiri kumzeesha kwa kumuozesha kwa kigagula chochote hapo kijijini.
Kwani jina lako hulijui? We si bibi yangu wewe?Tuambie jina la kigagula aliyemzaa baba ako.
Jinsi ulivyojisikia kwa comment yangu, ndivyo wenye bibi, babu, baba na mama zao vijijini wamejisikia wazazi wao walipoitwa vigagula. Btw endelea kujiona una haki ya kumtusi yeyote.Kwani jina lako hulijui? We si bibi yangu wewe?
Rudisha simu kwa diwani. Kaote jua bibi.
Bibi unazinguaJinsi ulivyojisikia kwa comment yangu, ndivyo wenye bibi, babu, baba na mama zao vijijini wamejisikia wazazi wao walipoitwa vigagula. Btw endelea kujiona una haki ya kumtusi yeyote.
Unakuta wanaume 10 wamejazana kwenye Vitz wanamwogopa panya road mmoja😀Dar hakuna wanaume wakitokea atapata bwana. Wanaume wa Dar wanakimbia panya road.
Hadi ye mwenyewe kakimbilia Dodoma kawaacha wenye mji wao wapoMagufuli akasema kama mwanaume kweli utabaki Dar. Wanaume tumekomaa naye humu humu, wanawake na wanaume wa uongo wakakimbilia mikoani huko.
Sasa Rais mwenyewe kashadeclare wanaume watabaki wapi wewe na hotspot yako ya kijiji inayowashwa kwa dakika nne nne unataka kusema nini?
Ngabu habari ya States?Why do y’all care?
States ndo nini?Ngabu habari ya States?
Hao jamaa wamikoani some time comente zao kuhu wanaume wa Daressalam me nashindwa kuwaelewa kabisa.Watu wa vijijini mnajua uanaume ni ngono tu. Ni rahisi kwenu kua na akili hizo maana bajeti ya familia yako ya watoto nane kwa mwaka ni ndoo kubwa ya mahindi na kisado cha maharage.
Watoto hupeleki shule unasubiri kumzeesha kwa kumuozesha kwa kigagula chochote hapo kijijini.
Huwezi jua banaNimeona kwenye interview ya Salama na Jay Dee Salama na Jay Dee wote wamekiri kuwa hawana watoto. Najua hawa wote wameshafika 40+. wanaume wa Darisalama mnafeli wapi??
Uzi tayari.
Kwa hiyo yeye ni mwanamke wa kiume au wakike... maana siku hizi kuna female but male na male but female...Salama ni mdee lesbian