Nini Kipo Nyuma ya Lady Jay Dee na Salama Jabir?

Vijana wa kibongo wake/waume wa kibongo kukimbilia kuolewa, ndio ndoto kubwa kwao sababu ya kutokua na ndoto zao wanaanza kutimiza ndoto za watu wengine( wazazi, ndugu, marafiki).

Demu akifika 30 anaitwa mzee hawezi kuolewa, ana force kuolewa na mtu yoyote yule pasipo kujipanga mwisho, anajikuta kaingia sipo yanaanza majuto.

Kuzaa majaliwa na mipango ikae sawa sababu malezi sio kitu rahisi, uwezo wa kipato, mtu sahihi, muda sahihi, watu wamekimbilia kuzaa kulea kumewashinda, watoto wamejazana mtaani, wezi vibaka, wadangaji kibao, mama, baba na mtoto wote mnadanga.

Hizi ni mind set za kiafrica ambazo lazima tuachane nazo, mzazi usilazimishe mtoto aoe au aolewe mwache afanye kwa muda wake, kuzaa sio lazima timiza malengo yako ndoto zako kwanza, hili uzao wako usipitie majuto ya kuzaliwa na wewe uhakika wa elimu, afya..

Kila mtu afanye maisha kwa namna yake, ashinde mechi zake, usiiishi ndoto za mtu mwingine hata kama ni mzazi wako.

Hatuwezi wote tukafanya vitu vinavyonana tukapata matokeo tofauti.

Big up kwa salama na jay dee, mungu awajalie mkipata watoto kheri mkikosa kheri vilevile, hakuna kesi wala dhambi.
Kila Sentensi Uliyoiandika ni DHAHABU TUPU....

AKILI za kijima haziwezi kutupeleka MBELE...
 
Watu wa vijijini mnajua uanaume ni ngono tu. Ni rahisi kwenu kua na akili hizo maana bajeti ya familia yako ya watoto nane kwa mwaka ni ndoo kubwa ya mahindi na kisado cha maharage.

Watoto hupeleki shule unasubiri kumzeesha kwa kumuozesha kwa kigagula chochote hapo kijijini.
Facts .....

Kwao maendeleo ni kula Ugali na kusubiri USIKU UINGIE....
 
Vijana wa kibongo wake/waume wa kibongo kukimbilia kuolewa, ndio ndoto kubwa kwao sababu ya kutokua na ndoto zao wanaanza kutimiza ndoto za watu wengine( wazazi, ndugu, marafiki).

Demu akifika 30 anaitwa mzee hawezi kuolewa, ana force kuolewa na mtu yoyote yule pasipo kujipanga mwisho, anajikuta kaingia sipo yanaanza majuto.

Kuzaa majaliwa na mipango ikae sawa sababu malezi sio kitu rahisi, uwezo wa kipato, mtu sahihi, muda sahihi, watu wamekimbilia kuzaa kulea kumewashinda, watoto wamejazana mtaani, wezi vibaka, wadangaji kibao, mama, baba na mtoto wote mnadanga.

Hizi ni mind set za kiafrica ambazo lazima tuachane nazo, mzazi usilazimishe mtoto aoe au aolewe mwache afanye kwa muda wake, kuzaa sio lazima timiza malengo yako ndoto zako kwanza, hili uzao wako usipitie majuto ya kuzaliwa na wewe uhakika wa elimu, afya..

Kila mtu afanye maisha kwa namna yake, ashinde mechi zake, usiiishi ndoto za mtu mwingine hata kama ni mzazi wako.

Hatuwezi wote tukafanya vitu vinavyonana tukapata matokeo tofauti.

Big up kwa salama na jay dee, mungu awajalie mkipata watoto kheri mkikosa kheri vilevile, hakuna kesi wala dhambi.
Umeongea hekima sana ..big up mkuu
 
Nimeona kwenye interview ya Salama na Jay Dee Salama na Jay Dee wote wamekiri kuwa hawana watoto. Najua hawa wote wameshafika 40+. wanaume wa Darisalama mnafeli wapi??

Uzi tayari.
Si uje uwawekee wewe hiyo kitu kama wa Dar wameshindwa? Lakini mbona Gadner ana mtoto, au amechomekewa?
 
Watu wa vijijini mnajua uanaume ni ngono tu. Ni rahisi kwenu kua na akili hizo maana bajeti ya familia yako ya watoto nane kwa mwaka ni ndoo kubwa ya mahindi na kisado cha maharage.

Watoto hupeleki shule unasubiri kumzeesha kwa kumuozesha kwa kigagula chochote hapo kijijini.
Tuambie jina la kigagula aliyemzaa baba ako.
 
Kwani jina lako hulijui? We si bibi yangu wewe?

Rudisha simu kwa diwani. Kaote jua bibi.
Jinsi ulivyojisikia kwa comment yangu, ndivyo wenye bibi, babu, baba na mama zao vijijini wamejisikia wazazi wao walipoitwa vigagula. Btw endelea kujiona una haki ya kumtusi yeyote.
 
Magufuli akasema kama mwanaume kweli utabaki Dar. Wanaume tumekomaa naye humu humu, wanawake na wanaume wa uongo wakakimbilia mikoani huko.

Sasa Rais mwenyewe kashadeclare wanaume watabaki wapi wewe na hotspot yako ya kijiji inayowashwa kwa dakika nne nne unataka kusema nini?
Hadi ye mwenyewe kakimbilia Dodoma kawaacha wenye mji wao wapo
 
Watu wa vijijini mnajua uanaume ni ngono tu. Ni rahisi kwenu kua na akili hizo maana bajeti ya familia yako ya watoto nane kwa mwaka ni ndoo kubwa ya mahindi na kisado cha maharage.

Watoto hupeleki shule unasubiri kumzeesha kwa kumuozesha kwa kigagula chochote hapo kijijini.
Hao jamaa wamikoani some time comente zao kuhu wanaume wa Daressalam me nashindwa kuwaelewa kabisa.

Kwamba wao (wamikoani) ndio wanajua sana kugegeda?

Wao wananguvu sana?
Wao wakoje yani?

Mara ya kwanza naingia mgodini wachimbaji kibao walikua wananidharau baada ya kujua mimi ni Mndengereko.
Wakawa wanaambiana yule katoka Dar, hatoweza kazi ngumu.
Mwisho wa picha wakaanza kuniita Maquina (mashine).

Watoto wa mikoani acheni comente za kishamba juu ya watoto wa jiji.

Hao dada zenu hawana vizazi, kama kuwagonga tunawonga vizuri tu.
Mfano huyo Salama, sijui hata kama anagongeka huyo.
 
Mm
Salama ni mdee lesbian
Kwa hiyo yeye ni mwanamke wa kiume au wakike... maana siku hizi kuna female but male na male but female...
KUNA MWANAMKE WA KIUME na MWANAMME wa Kike... yaan bavk to sodoma n gomorah
 
Back
Top Bottom