isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
- Thread starter
- #61
Unamaanisha watu wanaabudu mtu? 🙄Dah!. Binafsi naamini Mungu yupo na ndio aliyenibariki nipo na maisha mazuri kwa Sasa.
Ila sijaenda kanisani miaka na miaka ( Mimi ni RC). Tatizo kwa kweli zile sanamu na mipicha tunayoambiwa ni yesu Kule kanisani zinanikwaza sana. Yaani mtu kachonga mjisanamu wake na mti wa mpingo Leo hii naambiwa kuwa niheshimu kuwa ni mfano wa yesu!!?. Nimeshafafanuliwaga na watu mbali mbali kuhusu hizo sanamu Ila sikuwaelewa hata kidogo.
Nimejaribu kusali makanisa mbali mbali Ila kote kumenishinda.
Ila Kama sio sanamu na mipicha picha kanisani, basi RC is the best.