Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Yakikupata utaitafuta dini.
Utaitafuta Dini au utamfuta Mungu?Dini zimefail ndio maana uovu umeongezeka Mara dufu.Siku watu wakiamua kutafuta Mungu na kuwa na hofu nae Dunia hii tutaifaurahi.NB Mungu hayupo kwenye hizo Dini Yesu kristo alileta Wokovu sio ukristo.Ukristo ni matokeo ya watu wachache kutaka kuhodhi wenzao.Mungu awe nawe Daima.
 
Nimeenda kanisani leo..Ibada 30minutes then mahamasisho ya kutoa michango na matangazo mengine 30minutes.

Watu wengine tunaona tu baadhi ya madhehebu pesa ndo imewekwa mbele zaidi.
Mtu anatafuta tofauti ya Vikoba, Vyama vya Ushirika na the so called dini hapati jibu!.
 
Most of people get satisfaction from other things away from their God... sio rahs mtu alikesha club kuwah church, nk but also maisha yanfnya watu wawe bze kusolve mattzo thats y makanisa ya miujiza yanapata watu
Hayo makanisa ya miujiza waumininwao wengi unajua ni akina nani?
Single mothers hilo nitatizo
 
Uislam na ukristo ni dini mbili tofauti kabisa
Kwa maana hiyo unataka kuniambia kuwa waislam wana MUNGU wao na wakristo nao wana MUNGU wao...Yes kwa hiyo hapo tayari wamepatikana miungu wawili provided kwamba hatuwezi kubainisha ukweli na uongo!
 
Utaitafuta Dini au utamfuta Mungu?Dini zimefail ndio maana uovu umeongezeka Mara dufu.Siku watu wakiamua kutafuta Mungu na kuwa na hofu nae Dunia hii tutaifaurahi.NB Mungu hayupo kwenye hizo Dini Yesu kristo alileta Wokovu sio ukristo.Ukristo ni matokeo ya watu wachache kutaka kuhodhi wenzao.Mungu awe nawe Daima.
Tumfuate mungu kupitia muongozo upi..?

Kama sio dini na mafundisho ya hiyo dini husika...!
 
Wazee wa zamani waliomba na mvua zikanyesha.

Upo sahihi, Dini sio zilizoletwa na wazungu tu, hata imani kwa mizimu kama mungu ni dini na wazungu walizikuta mababu wakizitumia.

La muhimu tupendane pamoja na tofauti zetu za kiimani. Heshima iwepo na tusiuane na kubaguana sababu ya dini.
Dah kwel mkuu,, zamani tulikuwa tunasini zetu Africa, uliomba mvua inanyesha, haupati mtoto unapata,, Dini za kisasa izi za mzungu ata uombe mvua patupu hakuna ata tone. Apa tumepigwa mwaisa
 
Wewe mtoa post huo utafiti umeufanya lini na wapi? Binafsi sijasikia mtu akijinasibu hana dini.Tujulishe kwanza ww binafsi una dini au huna?
 
Unatakiwa kumfuata kwa kuishi maisha ambayo unaona yanampendeza Mungu.Tenda Mwema.Upendo utawale maisha yako yote.Hayo huwezi yapata kanisani.
Asilimia kubwa Kwa akili ya kibinaadamu huwa tunafuata tama zetu sio mema aliyotaka Mungu, ninamaana muongozo wa vitabu vya dini unaumuhimu mkubwa wa kutambua Mema na Mabaya yasiyo mpendeza Mungu
 
Niliacha kuabudu hizi Dini nilipoanza kujitambua na kufunguka kifikra hapo nikiwa kidato Cha kwanza tu!
Familia walishangazwa Sana na maamuzi yangu na kuanza nipa vitisho uchwara ila mwisho wa siku wanaelewa Nini nilimaanisha,

Nilipogundua huyo Mungu anayeabudiwa Ndio chanzo Cha matatizo yote Duniani nikaona hata hayupo na kama yupo Hana uwezo wowote Kama vitabu vya Dini vinavyotudanganya

Kama mtu atanibishia kua huyo Mungu sio chanzo Cha matatizo namkaribisha hapa nimuulize

Swali Moja tu nalo ni
Kama huko mbinguni tunakoaminishwa ni sehemu salama,hakuna mawazo mabaya,Kuna Raha zote na tukifika huko tunakua na fikra mpya za Duniani hatuna kumbukumbu nazo je?
SHETANI alipata wapi hiyo roho ya uasi na wakati alikwepo sehemu isiyo na fikra Mbaya Wala dhambi Kama vitabu vya Dini vinatuamisha?
 
Asilimia kubwa Kwa akili ya kibinaadamu huwa tunafuata tama zetu sio mema aliyotaka Mungu, ninamaana muongozo wa vitabu vya dini unaumuhimu mkubwa wa kutambua Mema na Mabaya yasiyo mpendeza Mungu
Mwambie Mungu aliye hai
ayaongoze maisha yak😵mba ufalme wake uje maishani mwako na uishi kulingana na mapenzi yake.Huko kwenye nyumba za ibada ni mahali pa kujazana hofu tu.Neno la Mungu haliubiriwi.
 
Suala la viongozi wa dini kuacha kufanya kazi, na kufanya uendeshaji wa ibada ndio kazi ya kuendesha maish yao, hili mimi naliona si sahihi, naona kama unyonyaji flani tu.
Unyonyaji mkubwa sana tena sana, inatakiwa wakabebe zege au watoke ofisini kufanya kazi ndio waanze kueneza propaganda.
 
Niliacha kuabudu hizi Dini nilipoanza kujitambua na kufunguka kifikra hapo nikiwa kidato Cha kwanza tu!
Familia walishangazwa Sana na maamuzi yangu na kuanza nipa vitisho uchwara ila mwisho wa siku wanaelewa Nini nilimaanisha,

Nilipogundua huyo Mungu anayeabudiwa Ndio chanzo Cha matatizo yote Duniani nikaona hata hayupo na kama yupo Hana uwezo wowote Kama vitabu vya Dini vinavyotudanganya

Kama mtu atanibishia kua huyo Mungu sio chanzo Cha matatizo namkaribisha hapa nimuulize

Swali Moja tu nalo ni
Kama huko mbinguni tunakoaminishwa ni sehemu salama,hakuna mawazo mabaya,Kuna Raha zote na tukifika huko tunakua na fikra mpya za Duniani hatuna kumbukumbu nazo je?
SHETANI alipata wapi hiyo roho ya uasi na wakati alikwepo sehemu isiyo na fikra Mbaya Wala dhambi Kama vitabu vya Dini vinatuamisha?
Sisi binaadamu ni viumbe wa mwisho kuumbwa ninamaana hapo mwanzo kulikuwapo na viumbe walio ishi kabla yetu na huyo ambaye kwa sasa ni shetani ni mmoja wa viumbe hao
 
Mwambie Mungu aliye hai
ayaongoze maisha yak😵mba ufalme wake uje maishani mwako na uishi kulingana na mapenzi yake.Huko kwenye nyumba za ibada ni mahali pa kujazana hofu tu.Neno la Mungu haliubiriwi.
Wewe unamfuata mungu kwa utaratibu upi..? Maana hata vitengo vya upasuaji ktk vituo vya afya wanataratibu za kuufikia huo upasuaji hawakurupuki tu
 
Back
Top Bottom