Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 621
- 1,298
Huo mfumo wa maisha usipo rithishwa vizuri lazima mambo yatabadilika tuDini ni mfumo wa maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mfumo wa maisha usipo rithishwa vizuri lazima mambo yatabadilika tuDini ni mfumo wa maisha
Utaitafuta Dini au utamfuta Mungu?Dini zimefail ndio maana uovu umeongezeka Mara dufu.Siku watu wakiamua kutafuta Mungu na kuwa na hofu nae Dunia hii tutaifaurahi.NB Mungu hayupo kwenye hizo Dini Yesu kristo alileta Wokovu sio ukristo.Ukristo ni matokeo ya watu wachache kutaka kuhodhi wenzao.Mungu awe nawe Daima.Yakikupata utaitafuta dini.
Mtu anatafuta tofauti ya Vikoba, Vyama vya Ushirika na the so called dini hapati jibu!.Nimeenda kanisani leo..Ibada 30minutes then mahamasisho ya kutoa michango na matangazo mengine 30minutes.
Watu wengine tunaona tu baadhi ya madhehebu pesa ndo imewekwa mbele zaidi.
Hayo makanisa ya miujiza waumininwao wengi unajua ni akina nani?Most of people get satisfaction from other things away from their God... sio rahs mtu alikesha club kuwah church, nk but also maisha yanfnya watu wawe bze kusolve mattzo thats y makanisa ya miujiza yanapata watu
Kwa maana hiyo unataka kuniambia kuwa waislam wana MUNGU wao na wakristo nao wana MUNGU wao...Yes kwa hiyo hapo tayari wamepatikana miungu wawili provided kwamba hatuwezi kubainisha ukweli na uongo!Uislam na ukristo ni dini mbili tofauti kabisa
Tumfuate mungu kupitia muongozo upi..?Utaitafuta Dini au utamfuta Mungu?Dini zimefail ndio maana uovu umeongezeka Mara dufu.Siku watu wakiamua kutafuta Mungu na kuwa na hofu nae Dunia hii tutaifaurahi.NB Mungu hayupo kwenye hizo Dini Yesu kristo alileta Wokovu sio ukristo.Ukristo ni matokeo ya watu wachache kutaka kuhodhi wenzao.Mungu awe nawe Daima.
Unaweza kutuambia kwanini mfalme Suleiman alikuwa na wanawake wengi na michepuko 300 na haikus shida; ila leo sisi tunaambiwa kuwa na make moja ni dhambi.Unamaanisha dini ni sehemu ya watu wasiokuwa na uwezo wa reasoning? Ni yapi ambayo yamefichwa kwa watu wasiokuwa na uwezo huo?
Dah kwel mkuu,, zamani tulikuwa tunasini zetu Africa, uliomba mvua inanyesha, haupati mtoto unapata,, Dini za kisasa izi za mzungu ata uombe mvua patupu hakuna ata tone. Apa tumepigwa mwaisaWazee wa zamani waliomba na mvua zikanyesha.
Upo sahihi, Dini sio zilizoletwa na wazungu tu, hata imani kwa mizimu kama mungu ni dini na wazungu walizikuta mababu wakizitumia.
La muhimu tupendane pamoja na tofauti zetu za kiimani. Heshima iwepo na tusiuane na kubaguana sababu ya dini.
Unatakiwa kumfuata kwa kuishi maisha ambayo unaona yanampendeza Mungu.Tenda Mwema.Upendo utawale maisha yako yote.Hayo huwezi yapata kanisani.Tumfuate mungu kupitia muongozo upi..?
Kama sio dini na mafundisho ya hiyo dini husika...!
Weka hapa tuangalie methodology kwanzaHabari 👋🏾
Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.
Asilimia kubwa Kwa akili ya kibinaadamu huwa tunafuata tama zetu sio mema aliyotaka Mungu, ninamaana muongozo wa vitabu vya dini unaumuhimu mkubwa wa kutambua Mema na Mabaya yasiyo mpendeza MunguUnatakiwa kumfuata kwa kuishi maisha ambayo unaona yanampendeza Mungu.Tenda Mwema.Upendo utawale maisha yako yote.Hayo huwezi yapata kanisani.
Mkuu na wewe umefanikiwa kuachana na utapeli huo? 😄Watu wameanza kuachana na kufuata mambo ya kitapeli
Mwambie Mungu aliye haiAsilimia kubwa Kwa akili ya kibinaadamu huwa tunafuata tama zetu sio mema aliyotaka Mungu, ninamaana muongozo wa vitabu vya dini unaumuhimu mkubwa wa kutambua Mema na Mabaya yasiyo mpendeza Mungu
Unyonyaji mkubwa sana tena sana, inatakiwa wakabebe zege au watoke ofisini kufanya kazi ndio waanze kueneza propaganda.Suala la viongozi wa dini kuacha kufanya kazi, na kufanya uendeshaji wa ibada ndio kazi ya kuendesha maish yao, hili mimi naliona si sahihi, naona kama unyonyaji flani tu.
Sisi binaadamu ni viumbe wa mwisho kuumbwa ninamaana hapo mwanzo kulikuwapo na viumbe walio ishi kabla yetu na huyo ambaye kwa sasa ni shetani ni mmoja wa viumbe haoNiliacha kuabudu hizi Dini nilipoanza kujitambua na kufunguka kifikra hapo nikiwa kidato Cha kwanza tu!
Familia walishangazwa Sana na maamuzi yangu na kuanza nipa vitisho uchwara ila mwisho wa siku wanaelewa Nini nilimaanisha,
Nilipogundua huyo Mungu anayeabudiwa Ndio chanzo Cha matatizo yote Duniani nikaona hata hayupo na kama yupo Hana uwezo wowote Kama vitabu vya Dini vinavyotudanganya
Kama mtu atanibishia kua huyo Mungu sio chanzo Cha matatizo namkaribisha hapa nimuulize
Swali Moja tu nalo ni
Kama huko mbinguni tunakoaminishwa ni sehemu salama,hakuna mawazo mabaya,Kuna Raha zote na tukifika huko tunakua na fikra mpya za Duniani hatuna kumbukumbu nazo je?
SHETANI alipata wapi hiyo roho ya uasi na wakati alikwepo sehemu isiyo na fikra Mbaya Wala dhambi Kama vitabu vya Dini vinatuamisha?
Wewe unamfuata mungu kwa utaratibu upi..? Maana hata vitengo vya upasuaji ktk vituo vya afya wanataratibu za kuufikia huo upasuaji hawakurupuki tuMwambie Mungu aliye hai
ayaongoze maisha yak😵mba ufalme wake uje maishani mwako na uishi kulingana na mapenzi yake.Huko kwenye nyumba za ibada ni mahali pa kujazana hofu tu.Neno la Mungu haliubiriwi.