Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

Habari 👋🏾

Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.

Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.

Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Jibu ni rahisi. Dini inashindwa kujibu maswali mengi. Na pia, kila kitu ni kuwa na imani na yatarajiwayo!
 
Nadhani haujaelewa nilichokimaanisha ila yanayotendeka na yanayotendwa na viongozi wetu wa kiroho huwa yanaturudisha nyuma sana kiimani aise.
Mkuu nilikuelewa kwa uzuri, hili la viongozi wenu linachangia sana kwa wengi katika kuondokana na dini.
 
Wachungaji wanahubiri sana sadaka na michango, kupewa utajiri yaaani ufalme wa duniani kuliko wa mbinguni yaani inakatisha sana tamaa.
 
Elimu I mean elimu ya dini ,mimi nadhani mashaka yanatokana kutokuwa na ufahamu kitu mfano ukimuhadisia mtu asiyekuwa na elimu ya anga kuhusu Mambo ya anga hamtaelewana kamwe.

Sasa Mimi nilicho kiona watu wengi hawana/hatuna elimu ya dini hivyo basi inapelekea kutokujua chochote zaidi tunachofundishwa jumapili au ijumaa watu wanamna hivi ni rahisi kupotezwa kwenye mstari wa dini ,na hata hao wanaojiita atheist wengi wao hawajui vizuri dini zao wanatilia mashaka kitu wasicho kijua.

Sasa hio cheni inashuka Hadi kizazi chao hawawaimizi watoto wao kusoma dini kwasababu wao hawaimini.
 
Habari 👋🏾

Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.

Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.

Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Michango mingi na mikubwa isiyokuwa na tija, dini kugeuka kuwa biashara, huduma za kidini mfano mazishi, unatizo kutolewa kwa wanaochanga na kwenda jumuiya. Dini sio Mungu hivyo hao ambao hawana dini still wanamwamini Mungu.
Njooni mniuwe
 
Nimesoma chuo kinachofundisha uchungaji (Theology).

1. Wachungaji tulikua tunagombania nao mademu wa chuo.
2. Wachungaji wanagonga vitoto vya certificate.
3. Wachungaji wanaomba video za porn
4. Mama wachungaji tunawala vizurii
5. Mashekhe hawaeleweki
6. Padre kafumaniwa na mchumba wa mtu.

Wotee Hawa NDIO UNAENDA WASIMAME MADHABAHUNI KUKUHUBIRIA..!!!???

#YNWA

Kwahiyo hutaamini tena dini baada ya matukio hayo?
 
Michango mingi na mikubwa isiyokuwa na tija, dini kugeuka kuwa biashara, huduma za kidini mfano mazishi, unatizo kutolewa kwa wanaochanga na kwenda jumuiya. Dini sio Mungu hivyo hao ambao hawana dini still wanamwamini Mungu.
Njooni mniuwe
Wakija utabaki maana hawana dogo! Straight futi 12. 😆
 
Sikupata taarifa yeyote kuhusu Mungu bali nilizaliwa tayari na UFAHAMU wa uwepo wa Mungu.
Sio kweli.

Ulilelewa kwenye mazingira ambayo Mungu anatajwa sana,ulilelewa na wazazi ambao wanamjua Mungu.

Hivyo kutuambia kuwa ulizaliwa hivyo sio sahihi,mtoto anapozaliwa hawezi kujua lolote kuhusu jambo ambalo halijawahi kutajwa akalisikia,wala jambo ambalo hajawahi kuliona popote.

Hivyo hoja yako inaanguka hapo kwa sababu ni uongo ulio wazi,bali ukqeli wake ni kwamba umepata taarifa za mungu kutoka kwa watu waliokuzunguka na kukulea.
 
Habari 👋🏾

Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.

Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.

Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Kwa sababu "religion is the opium of the people". Dini au tuseme viongozi wake wameshindwa kuhalalisha ambayo wanayakemea kila siku. Mashehe, mapadri, maaskofu, na viongozi wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye udhinifu, kuna dini hasa za kikristu zimeibuka na theology ya utajirisho. Hizi ndo dini za wake na Gwajima. Wanawadanganya watu mpaka wanakuwa maskini huku wao wakivaa mikufu ya makilo ya dhahabu. Angalia zile hela zilizokwapuliwa Benki kuu na wake na Ruge. Zingngine ziliishia kwenye kanisa langu Katoliki... Benki ya kanisa au kanisa litapokeaji pesa yenye shaka! Vijana wakikuwa wanayaona haya, alafu wewe unamwambia awe mkristu au mwislamu safi atakuangalia tu. Utakuwaje mkristu safi huku padri siyo sagi! Padri au shekhe ako ana watoto wa nje sita, kavunja ndoa za watu, huku wewe uendelee kumuona ni mu wa Mungu! HII NDIYO SABABU WENGI WANAENDA KANISANI AU MISIKITINI KWA SHINIKIZO LA KUONEKANA WANA DINI. HUKU WAKRISTU AU WAISLAMU WAFU...KIDINI.
 
Makanisani siyo sehemu tena ya kupata faraja. Ila pia watu wengi wamekuwa wanareason kila kitu tofauti na zamani watu walikuwa na reasoning power ndogo so wanaona inayoendelea kule ni miyeyusho miyeyusho tu.
Yaan umenena ukweli mkuu, mm wenyewe ukininbia fumba macho tuombe, napata maswali........

Ukiniambia inua mikono juu Kama ishara ya kusarenda kwa Mungu napata maswali......, Mungu yuko juu hipi?

Ukiniambia maombi ya usiku wa manane yanajibiwa na Mungu kwa haraka napata maswali.....

Yaaaan maswali maswali .....


Lakin Mungu yupo tusiache kumwani. Jaman
 
YEAR OLDSKutoamini katika uwepo wa MUNGU ni upagani tu na ni dini sema mungu anakuwa ni wewe mwenyewe.
Upagani, Ukristu, Uislamu, Uyahudi n.k. zote ni imani. Hakuna imani ambayo ni superior kwa nyenzake. Zote ni imani na hakuna imani potofu au ya kweli, kwa sababu zote ziko based katika kukubali kitu bila uthibitisho. Asikudanye mtu kuwa imani ya Kiafrka na ibada zake ni potofu au siyo ya kweli. Ukikubali kuwa ni potofu na siyo ya kweli jua pia Ukristu na Uislamu ni imani potofu na zisizo za kweli. Waislamu na Wakristu wanaita dini za Kiafrika potofu kwa sababu haziamini katika imani ya Kikristu au Kiislamu, vivyo dini hizi za asili zinauona Ukristu ai Uislamu kama imani potofu kwa sababu zinapingana na imani za asili. Imani zote zote ziko based on hearsay, no proof nia of course ni kukataza wewe muumini usiu;ize maswali yasioyojibika. Ukweli ni kuwa dini za kiasili zinaamini malipo ni hapa duniani. Ndiyo maana zinawaam,bia watu walipie mabaya yao ili watakapoondoka waache familia zao salama. Maana wakifa bila kusafishwa mattizo yao yatalipwa na watoto au wajukuu wao! Very practical, kuliko ile imani inayoosema kuwa jam,bazi, iba, ua, kuwa fuska, na tenda mabayo yote, kama utajutia dhambi zako na kuomba msamaha kstika dakika za mwisho utaenda mbinguni! How can this be possible. Actually such practice makes many people bad people, because they know that they can get salvation. NO WANDER CHURCHES AND MOSQUES ARE FULL THE ELDERLY NOT CAPABLE OF COMMITING SIN.
 
kuliko ile imani inayoosema kuwa jam,bazi, iba, ua, kuwa fuska, na tenda mabayo yote, kama utajutia dhambi zako na kuomba msamaha kstika dakika za mwisho utaenda mbinguni! How can this be possible.
Aisee...
 
Ahaa! Kwa maana hii dini ni vyama vinavyojiendesha katika njia tofauti na vyama vya siasa au waweza sema ni kundi na kusanyiko la watu?
Umesema kweli. Waumini wa dini hawana tofauti na wanachama au mashabiki wa Simba na Yanga!
 
Back
Top Bottom