isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
- Thread starter
- #181
Sehemu gani Mungu anadhihakiwa na kudharauliwa?Kama Mungu anadhihakiwa na kudharauriwa hivi hadharani
Ni dalili za wazi mwisho wa dunia haupo mbali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sehemu gani Mungu anadhihakiwa na kudharauliwa?Kama Mungu anadhihakiwa na kudharauriwa hivi hadharani
Ni dalili za wazi mwisho wa dunia haupo mbali sana
Jibu ni rahisi. Dini inashindwa kujibu maswali mengi. Na pia, kila kitu ni kuwa na imani na yatarajiwayo!Habari 👋🏾
Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.
Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.
Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Mkuu nilikuelewa kwa uzuri, hili la viongozi wenu linachangia sana kwa wengi katika kuondokana na dini.Nadhani haujaelewa nilichokimaanisha ila yanayotendeka na yanayotendwa na viongozi wetu wa kiroho huwa yanaturudisha nyuma sana kiimani aise.
Michango mingi na mikubwa isiyokuwa na tija, dini kugeuka kuwa biashara, huduma za kidini mfano mazishi, unatizo kutolewa kwa wanaochanga na kwenda jumuiya. Dini sio Mungu hivyo hao ambao hawana dini still wanamwamini Mungu.Habari 👋🏾
Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.
Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.
Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Nimesoma chuo kinachofundisha uchungaji (Theology).
1. Wachungaji tulikua tunagombania nao mademu wa chuo.
2. Wachungaji wanagonga vitoto vya certificate.
3. Wachungaji wanaomba video za porn
4. Mama wachungaji tunawala vizurii
5. Mashekhe hawaeleweki
6. Padre kafumaniwa na mchumba wa mtu.
Wotee Hawa NDIO UNAENDA WASIMAME MADHABAHUNI KUKUHUBIRIA..!!!???
#YNWA
Mungu yupo nae anaishi.Kwahiyo hutaamini tena dini baada ya matukio hayo?
Wakija utabaki maana hawana dogo! Straight futi 12. 😆Michango mingi na mikubwa isiyokuwa na tija, dini kugeuka kuwa biashara, huduma za kidini mfano mazishi, unatizo kutolewa kwa wanaochanga na kwenda jumuiya. Dini sio Mungu hivyo hao ambao hawana dini still wanamwamini Mungu.
Njooni mniuwe
Sio kweli.Sikupata taarifa yeyote kuhusu Mungu bali nilizaliwa tayari na UFAHAMU wa uwepo wa Mungu.
Kwa sababu "religion is the opium of the people". Dini au tuseme viongozi wake wameshindwa kuhalalisha ambayo wanayakemea kila siku. Mashehe, mapadri, maaskofu, na viongozi wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye udhinifu, kuna dini hasa za kikristu zimeibuka na theology ya utajirisho. Hizi ndo dini za wake na Gwajima. Wanawadanganya watu mpaka wanakuwa maskini huku wao wakivaa mikufu ya makilo ya dhahabu. Angalia zile hela zilizokwapuliwa Benki kuu na wake na Ruge. Zingngine ziliishia kwenye kanisa langu Katoliki... Benki ya kanisa au kanisa litapokeaji pesa yenye shaka! Vijana wakikuwa wanayaona haya, alafu wewe unamwambia awe mkristu au mwislamu safi atakuangalia tu. Utakuwaje mkristu safi huku padri siyo sagi! Padri au shekhe ako ana watoto wa nje sita, kavunja ndoa za watu, huku wewe uendelee kumuona ni mu wa Mungu! HII NDIYO SABABU WENGI WANAENDA KANISANI AU MISIKITINI KWA SHINIKIZO LA KUONEKANA WANA DINI. HUKU WAKRISTU AU WAISLAMU WAFU...KIDINI.Habari 👋🏾
Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana.
Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na jamii hizo.
Je, ni ipi sababu ya ukuaji wa kiwango hiki cha watu kutokuwa na dini kama ilivyozoeleka?
Yaan umenena ukweli mkuu, mm wenyewe ukininbia fumba macho tuombe, napata maswali........Makanisani siyo sehemu tena ya kupata faraja. Ila pia watu wengi wamekuwa wanareason kila kitu tofauti na zamani watu walikuwa na reasoning power ndogo so wanaona inayoendelea kule ni miyeyusho miyeyusho tu.
WATU KAMA BISHOP GWAJIMA NDIO WANATUFIKISHA HAPOViongozi wa dini nao wamekua wa ovyo siku hizi. Mtu anajionea aishi tu maisha yake stress free
Upagani, Ukristu, Uislamu, Uyahudi n.k. zote ni imani. Hakuna imani ambayo ni superior kwa nyenzake. Zote ni imani na hakuna imani potofu au ya kweli, kwa sababu zote ziko based katika kukubali kitu bila uthibitisho. Asikudanye mtu kuwa imani ya Kiafrka na ibada zake ni potofu au siyo ya kweli. Ukikubali kuwa ni potofu na siyo ya kweli jua pia Ukristu na Uislamu ni imani potofu na zisizo za kweli. Waislamu na Wakristu wanaita dini za Kiafrika potofu kwa sababu haziamini katika imani ya Kikristu au Kiislamu, vivyo dini hizi za asili zinauona Ukristu ai Uislamu kama imani potofu kwa sababu zinapingana na imani za asili. Imani zote zote ziko based on hearsay, no proof nia of course ni kukataza wewe muumini usiu;ize maswali yasioyojibika. Ukweli ni kuwa dini za kiasili zinaamini malipo ni hapa duniani. Ndiyo maana zinawaam,bia watu walipie mabaya yao ili watakapoondoka waache familia zao salama. Maana wakifa bila kusafishwa mattizo yao yatalipwa na watoto au wajukuu wao! Very practical, kuliko ile imani inayoosema kuwa jam,bazi, iba, ua, kuwa fuska, na tenda mabayo yote, kama utajutia dhambi zako na kuomba msamaha kstika dakika za mwisho utaenda mbinguni! How can this be possible. Actually such practice makes many people bad people, because they know that they can get salvation. NO WANDER CHURCHES AND MOSQUES ARE FULL THE ELDERLY NOT CAPABLE OF COMMITING SIN.YEAR OLDSKutoamini katika uwepo wa MUNGU ni upagani tu na ni dini sema mungu anakuwa ni wewe mwenyewe.
Aisee...kuliko ile imani inayoosema kuwa jam,bazi, iba, ua, kuwa fuska, na tenda mabayo yote, kama utajutia dhambi zako na kuomba msamaha kstika dakika za mwisho utaenda mbinguni! How can this be possible.
Umesema kweli. Waumini wa dini hawana tofauti na wanachama au mashabiki wa Simba na Yanga!Ahaa! Kwa maana hii dini ni vyama vinavyojiendesha katika njia tofauti na vyama vya siasa au waweza sema ni kundi na kusanyiko la watu?