Nini madhara ya Kutoonekana mahakamani katika kesi ya Ndoa?

Nimekusoma kamanda
 
Kuhusu mkopo sema mahakamani! Usikubali kulipa mkopo peke yako.
 
Ahahahah.
Kwahiyo kumbe usipopeleka matumiz ni kssi??
Kudadekii.. hapo sasa mwanamke sinanaweza kukunyanyasa sana kama utatoa matumiz bila kuweka proper records ,akisema hujatoa!!?
Kabisa hapo ndo mtego ulipo ndo maana ni muhimu kwenda mahakamani ili kama unachochote cha kusema mahakama itapima uzito wa hoja zako au itakupa utaratibu mzuri wa hukumu itakayotoka na utakua unaelewa nini kinaendelea , kutokwenda mahakamani siyo uamuzi mzuri sana mwanamke anaweza kutumia hilo gape vibaya
 
usipofika mahajamani maana yake maombi yake yatapokelewa na kukubaliwa na mahakama kwahiyo hujui Kamba nini humo usikute kaomba nyumba iuzwe mgawane sawa kwa sawa mwisho wa siku unakuta dalali wa mahakama anapiga mnada nyumba yako, usiache kwenda, unakumbuka kilichomkuta mwenye nyumba wa kunduchi aliyekuwa anadaiana na mpangaji wake?
 
Ikifika mahakamani igiza kua Bado unaempenda sn mkeo na hauko tayar mtengane, kesi itaahirishwa.

Mtarudishwa Baraza la usuluhishi la kata, uko mtatenga kesi, na huko hamnaga kuachana na hakitauzwa kitu
HUko koote alishanipeleka ila akagomea suluhu ndio maana kafika mahakamani.
Na huko koote hoja zangu mimi zilikua na nguvu
 
Pole sana Mkuu. Inaonyesha mke ndo alikuwa mtafutaji mkuu wa mkate na maendeleo mengine ya familia. Kama ni hivi, mie naona uko sawa.
 

Nenda tu maliza hii topic uendelee na Maisha yako, mivutano ya kijinga Kama hii ni mikosi tu kwenye utafutaji; Kama una nguvu weka wakili aende Usizime mbele kisanii, na weka mikakati na wahusika!

Kutokwenda na kupuuza wito bila kutuma uwakilishi ni utoto!
 
Nimekuelewa vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…