Nini madhara ya Kutoonekana mahakamani katika kesi ya Ndoa?

πŸ™†β€β™‚οΈπŸ€¦β€β™€οΈ
 
Huko kwa mama yao atakuwa anawajaza sum wakuchukie wamama wengi wanapata dhambi hapo.
Ni kweli
Kama ni wakubwa wachukue akiktaa Mwambie basi awatunze mwenyewe .
Je hii kimahakama inarusiwa, kuwa anaweza akagomea niwachukue licha ya kuwa ni wakubwa?
Na akigomea ,kisheria naqezaje kuishawishi mahakama kuwa awatunze mwenyewe??
 
Na ukimuuliza why? Kwann hakuandika wote wawili??
 
Da, kisa chako karibu ni kama changu. Hapo kwa kuaga kwa anakwenda kwenye msiba. Hawa wanawake haswa wa uswazi wanapenda sana kwenda kwenye misiba na sherehe ili wapate nafasi ya kufanya ukahaba.
 
Ni kwel lakin, japo kwa watoto inawapa shida hasa mwanzo ingawa after a while wanazoea.
Haizoeleki mkuu,,kadri siku zinavozid kwenda na maumivu yanapaa kwa mtoto,haswaaa mkubwa anayejua utamu wa kuishi na baba na mama.
 
Da, kisa chako karibu ni kama changu. Hapo kwa kuaga kwa anakwenda kwenye msiba. Hawa wanawake haswa wa uswazi wanapenda sana kwenda kwenye misiba na sherehe ili wapate nafasi ya kufanya ukahaba.
Ndoa sio za kuzikimbilia kimbilia kabisa, unaweza kujikuta unaanza na jehanamu ya hapa duniani na bado mbinguni unaikuta nyingine!
 
sio kwel,, unataka trump ani trumpet πŸ˜‚
πŸ˜πŸ˜πŸ˜„ asee mtajua mwenyewe ngoja mimi nitumie vitu vizuri hapa🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sasa akataka amfunge mpaka mwanae ?? Hiz familia kiukwel za kuangalia sana kabla ya hujachukua uamuzi wa kuoa

Sababu aliwahi kuta sms ya mchepuko ndio chanzo cha shari,
Mke akafanya fitina kwa watoto wote waweze ku-side nae lakini huyo mmoja ni amejibainisha kusimama na baba yake Basi mama katokea kumchukia na kumfanyia ukatili mbaya kuliko maelezo.
Kwa hiyo bifu likaendelea hapo hapo.
Imagine πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Mzazi unashindana na mtoto kweli umfunge uharibu future yake !.
Ndio maana kumbe hata mbwa na mbuzi wanazaa wala sio issue wala nini.
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜„ asee mtajua mwenyewe ngoja mimi nitumie vitu vizuri hapa🀣🀣🀣🀣🀣
One man down πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daahhhh...huyo mama basi ni noma sanaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…