Nini nifanye au nisifanye nikienda kutazama mechi ya mpira wa miguu kwa mara ya kwanza πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡³πŸ‡΄?

Mbona kuna mtu katikati ya uwanja hajavaa sare zinazofanana na wengine 🀣🀣?
ikiwa timu yangu inaongoza ntakujibu vizuri ila nikiwa nimefungwa najifanya sijakusikia kuepuka ugomvi😁
 
Mi kuna game huwa sipendi bugdha kabisa, nikiwa nacheki game ya Arsenal huwa sipendi shida hata simu huwa napokea ya wazazi, au simu ya najua hii itakuwa ya mchongo wa hela ila kama sio sipokei kabisa 😁
Kwanini huwezi kuongea na simu wakati unaangalia tu na siyo kwamba upo katikati ya mechi unatumika πŸ˜…
 
nikifungwa huwa wakwanza kutoka sitaki story moja kwa moja mpaka nyumbani, ila nikishinda nawasubiri nje tuanze kureview mechi nzima 😁
Lazma uwakere πŸ˜‚ bora nipo mbali najua tu ungekuja mpaka home unanicheka
 
Mmmh mbona kama unanipoteza 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…