Nini nifanye au nisifanye nikienda kutazama mechi ya mpira wa miguu kwa mara ya kwanza πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡³πŸ‡΄?

kwenye kupambania mpira kuna muda inabidi utumie nguvu kidogo ili uweze kuupata

Na sehemu nyengine wanacheza hivyo ili kumzuia mpinzani ikiwa anataka kuleta madhara

Halafu mengine relate na ya chumbani tu kwani huchezagi rafu wewe ?
Dr. Leaky
 
kwenye kupambania mpira kuna muda inabidi utumie nguvu kidogo ili uweze kuupata

Na sehemu nyengine wanacheza hivyo ili kumzuia mpinzani ikiwa anataka kuleta madhar
Sawa, nimeelewa ila ni violent πŸ™ƒ
Halafu mengine relate na ya chumbani tu kwani huchezagi rafu wewe ?
🀣🀣 ukamuulize mwenyewe uncle wako kama namchezeaga rafu 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…