joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kuna ukweli hapa, huenda ndoani kwake akawa Ni mkorofi sn, tulio nje hatuoniHuwezi linganisha ndoa na tabia za watoto, ndoa zina mambo magumu sana mtu akiongea utashangaa huyu si huwa yupo happy muda wote , kumbe huko ndani kwake ni sarakasi za kutosha
Watoto wanne kabisa, Tena wakubwa, WA mwisho Yuko darasa la nneana watoto na huyo mke wake? if yes, basi kuna kitu amegundua kimemfadhaisha hajapona rohoni. If hana watoto nae, basi kuna kitu huyo mkewe anamkosea sanaa na kaamua kutake some space kidogo, then akiwa sawa atarudi, ila tu ikiwezekana. Something is not right pahali about that marriage, i wish wasolve tu wasitese watoto.
Mimi sina mkono.Binafsi, makofi Huwa yanahusika kwa sana
Kuna kesi moja mme hakuwa vizuri kiafya na sijui ilitokea nini zaidi ya miaka 2 mme bila bila mke anavumilia baada ya muda eti mwanaume ana mtoto nje, mke anashangaa huyu mtoto anapatikanaje kipindi mme hana nguvu za hisia humu kumbe Mimi navumilia ujinga, sasa ukimkuta mke anachepuka atalaumiwa nani! Na mtoto mwenyewe hakuwa wake alitiwa aibu!😄Nimeweka mfano wa watoto alama ya nafsi isiyoridhika baada ya kukosa udhibiti.......
Wale walioamua au kuchagua kuishi na mwenza sio kama wamefungwa matamanio bali wamefanikiwa kuyadhibiti matamanio
Wanawake wengi wa sasa discipline ni zero mkuu.Ushamtimua? Au umemrudisha kwao akapumzke?
Tulishauriana na wife amsihi aende kwao, hataki kabisa, pia kumforce akarudi kwake inakua Kama tunamfukuza kisa ana matatzo, kitu ambayo Kama haisound vzuriMpeleke kwa wazazi wake au ndugu zake. Siku akitokewa na mengine huku labda pia ndio muda wa kutolewa kafwalwa basi yatakukuta wewe msamaria mwema, jirani mwema.
Mkuu ukikutana na mimi utasema nipo ok kabisa, lakini sipo hivyo.Nipo stressed yani nachanganyikiwa hata kula nashindwa.Kama leo sijatoka nje ya geti nipo ndani tu tangu jana.Tulio wengi tupo hivyo.Sema jana nimelia sana,ma mechi za ulaya leo zimenipa ahueni pia.Sema jamaa mbona anaonekana Hana stress, anaendelea na shughuli zake Safi kama kawaida.
Mwingine akirudi yupo busy na mambo yake kama ni simu atachat wee mpaka wakati wakulala mke akiuliza Mzee vipi, anaonekana mke mkorofi anampigia makelele, sasa vitu kama hivyo, kuna mmojà mke akimuuliza sasa baba chanja vipi mbona kulala tuu!? Mwanaume ana amka na kupiga simu Kwa ndugu zake huyu mwanamke ananisumbua 😃 ndugu anaanza kumchukia mkewe eti anamnyanyasa kaka yao, piga picha kitu kama hicho.Kuna ukweli hapa, huenda ndoani kwake akawa Ni mkorofi sn, tulio nje hatuoni