joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kuna group lingine la wanaume waokaa bar na wale wanaopenda kushinda kazini,kurudi makwao ni night kali nao wana mengi ya kusema ndio hivyo wameamua kumezea ila ndani wanaumia japo hawasemi.
Wale wanaoshinda bar unaweza sema ni wanavizia malaya kumbe anatuliza maumivu, ambayo pombe ikiisha yanarudi tena.
Wale wanaoshinda bar unaweza sema ni wanavizia malaya kumbe anatuliza maumivu, ambayo pombe ikiisha yanarudi tena.