Nini sababu ya Matajiri wengi kutokuwa wakweli juu ya utajiri wao?

Ina fikirisha kwa kweli mkuu
 
Hakuna mtu anae waonea wivu au chuki ila tunachosema kwa waeleze uhalisia au bora wawe kimya kuliko hivyo wanavyoelezea haviendani na uhalisia.

Wapo wanaopata division one kwa kununua mtihani sio wote wanapata kwa njia ya kawaida.
 
Utajiri sio jambo rahisi hakuna mtu hapambani ukweli naouona Kuna njia mbili za kufanikiwa Moja unapambana mungu anaweka tiki huu ni utajiri mzuri ambao hauna maagano wa pili ni WA shetani ambao unaupata kiraisi sana na kwa maagano na huu mwisho wake unakuwa sio mzuri sasa wewe ndio wa kuchagua uende upande upi
 
Hakuna mtu anae waonea wivu au chuki ila tunachosema kwa waeleze uhalisia au bora wawe kimya kuliko hivyo wanavyoelezea haviendani na uhalisia.

Wapo wanaopata division one kwa kununua mtihani sio wote wanapata kwa njia ya kawaida.
Sasa unataka ukweli upi mtu kama superfeo alianza kuhustle alivyomaliza darasa la saba wakati wengine waliendelea na shule miaka kumi mbele mpaka chuo biashara huwa inasumbua ukiwa na mtaji mdogo Kuna kuanguka sana wengi huwa wanakata tamaa hapa ila wanaokaza mwisho ukijipata halafu ukaweka njaa zaidi Mzee utajiri upo
 
Watu wapambane kwa kumtegemea Mungu.
 
Sawa sawa mzee wa kazi.
 
Honore de Balzac


Le secret des grandes fortunes sans cause apparente est un crime oublié, parce qu'il a été proprement fait.

The secret of a great success for which you are at a loss to account is a crime that has never been found out, because it was properly executed.

often quoted as ‘Behind every great fortune lies a great crime’
Le Père Goriot (1835)
 
Majibu yako kwenye biblia
MITHALI 25:2-ni utukufu wa Mungu kuficha jambo, Bali utukufu wa mfalme (tajiri) kuchunguza jambo.

Siri hizo sio rahisi kuziweka hadharani. KUTAFUTA PESA SIO KAZI KAMA KUITUNZA.
 
This is great. Wewe unaonaje? What do you have in mind?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…