Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Ben aliwahi kuwa Rais, au ndio yule mkewe Mch-@ga alimkontrol nini?Pesa ndiyo tatizo. Kumbuka wanategemea korosho na nyumba za kule za kawaida sana. Utakuta mishamba ya korosho mingi ila maisha ya watu wake ni duni. Akikutana na ww anaona ndiyo afadhali yake huenda akapona.
Nilikuwa masasi, kutoka Masasi mjini mpka kijiji cha Namatunu unatembea dk 45 mpk 50 hivi lkn cha kushangaza hakina umeme. Nilishangaa halafu maji ni ya shida sana.
Bila shaka jimbo liko wazi waoaji tujeNiliwahi kwenda huko nikiwa sina ndugu wala rafiki ila wale watu ni waungwana mno wana madhaifu mengine ila huko ni sehemu salama kuishi na kuolewa/kuoa huwezi chinjwa kikatili
Nimeolewa ndugu hayo maoni yangu yasikufanye ujue niko SingleBila shaka jimbo liko wazi waoaji tuje
Wewe ni mpumbavu,ndio nyie mlikua mnapayuka humu Afghanistan ni waarabu,Kama uliulizwa huko halafu unataka upate nondo kwangu pole sana.
Kuimba Taarabu ndiyo asili yenu. Kwa vile baba yako alikua anaimba taarabu unafikiri wote wanaimba taarabu.
Sasa hapo mzee wangu kinachokushangaza Nini ???Unaanzaje kumuonea wivu mwanamke wa kimakonde?
Vifupi, sura imekoma na hawana shepu. Nishafika Mtwara na Lindi
Nyumba za kizamani bora hata Masasi kuna nyumba mpya
Cha kushangaza kutoka Dar mpk Mtwara 23,000
Dar to Lindi 23,000
Dar to Masasi 23,000
Hapa umepika uongo mzee wangu mm nimezaliwa mtwara na nafanya kazi Lindi hii movie yako ya polyandry sijaiona labda useme michepuko ambapo ht huko kaskazn ndio balaa na visanga..Kingine hizi ni jamii ambazo kwa msingi fulani ni promiscuous na mwanamke mmoja anaweza kuwa na wanaume wengi tu na wote wanafahamiana na kusiwe na tabu yoyote.
Alingalia hata viongozi wanaotoka kusini au mwambao wa pwani hawana hulka mbovu..mkapa ,majaliwa ,kikwete ,,jaffo,,na ni nadra kuwakuta kwny list of shame ..mafisadi yote ya nchi hii yanatoka huko kwa walevi wa pombe za ndizi na matambalaBen aliwahi kuwa Rais, au ndio yule mkewe Mch-@ga alimkontrol nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaielewa hoja yangu vizuri sijasema wanaoana polyandry mkuu.Hapa umepika uongo mzee wangu mm nimezaliwa mtwara na nafanya kazi Lindi hii movie yako ya polyandry sijaiona labda useme michepuko ambapo ht huko kaskazn ndio balaa na visanga..
Bwana @@peter njoo ututafsrie hii part Mana mm nimekuelewa sivyoKingine hizi ni jamii ambazo kwa msingi fulani ni promiscuous na mwanamke mmoja anaweza kuwa na wanaume wengi tu na wote wanafahamiana na kusiwe na tabu yoyote.
Wapi nimetaja neno kuolewa polyandry.Bwana @@peter njoo ututafsrie hii part Mana mm nimekuelewa sivyo
Kwhy unataka kutuambia kuwa mke anaweza kuwa na mahawala wa kiume wawili au watatu au wanne na wakawa wanajuana huku wakipishana mlangoni kila mmoja anapotoka kula mbususu na wala pasiwepo ugomvi???Wapi nimetaja neno kuolewa polyandry.
Nimesema anaweza kuwa na wanaume wengi tu na wote wanafahamiana bila shida yoyote.
Sijasema kuolewa na wanaume wengi at once.
Do you understand ?
Mara huko uswekeni hakuna anayefuatilia mambo ya huko, ghafra huko tunafuatilia korosho na gesi...! Unajipinga mwenyewe
Kuna watu hawa ni warefu ila ni wakazi na wazawa wa Masasi, si Wamakonde ila jina limenitoka, ni wasomi na ndio wanaoupaisha mkoa wa Mtwara. Sio wafupi kama Wamakonde, na wana sura ndefu na weusi chini ya macho. Kabila lake na Mkapa sijui akina nani. Wengi wapo kama Wamasai kwa sura na mionekano.
Sent using Jamii Forums mobile app
UongoooHuko hakuna cha ustaarabu wala nini ukimuibia au kudhulumu mtu mahakama ni kilinge,utarogwa wewe na ukoo wako asibakie mtu,so watu wanaogopana,kuna vijiji ukienda na gari bila kuripoti kwa vizee fulani gari inazima yenyewe,au umpe binti mimba ukatae itaamia kwako
Nenda kamjaze mimba binti kule then ukatae utakuja kuniambiaUongooo
nitajie sehemu moja tanzania ambayo haina umasikini kabisa na imeendelea zaidi kielimu.Kuna kaukweli kiasi bt ushirikina ,uchawi ndo home huku...misukule na chuma uletee ndo penyewe.
Pia pamoja na rasilimali kibao km bahari,gas, korosho watu wanakumbatia umasikini sana na elimu ni duni sana
Jamiiforums ni media tosha.Unauhakika kuna watu wa media wa kutosha uko kama mikoa mingine kotosikia haimaanishi havitendeki nimetembelea kijiji fulani nakutana na uozo lkn hausikiki kwenye media