Nini tafsiri ya Megawatts 2,115 za umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (Stiegler's Gorge)?

Electrical engineering analysis inafanywa kisiasa jukwaani hapa huo uliofanya ni uhuni na kudharau taaluma zetu tuliokaa darasani 4 years
Inawezekana darasani ukikaa kupasha kiti moto tu, toa na wewe modalities zako tuone utopolo ulio kichwani kwako.
 
For how long can that dam supply 2115 MW in a year? (I am asking maximum water holding period), Because here is where enguneerig starts..
 
For how long can that dam supply 2115 MW in a year? (I am asking maximum water holding period), Because here is where enguneerig starts..
Ita supply continuously kwa sababu hakuna limit ya water flow and it will depend na ENVIRONMENTAL CONSERVATION itakavyokuwa.
 
Inawezekana darasani ukikaa kupasha kiti moto tu, toa na wewe modalities zako tuone utopolo ulio kichwani kwako.
Mbona unaanza matusi?.
Siwezi Fanya analysis ya project ambayo sijawahi iona na sina specific data.

Ila mtoa mada katudanganya parefu
 
Ya kupikia yenyewe ni changamoto
Hapana ndugu, ya kupikia ni nyingi sana.

kwa sasa Tanzania tunatumia LPG - Liquified Petroleum Gas, yaani ni Petroleum or Gasoline inakuwa converted into gas. Hii ni tofauti na Natural Gas (Methane, CH4) ambayo hii inaweza kutumika kama gas ya kupikia na kwenye magari as FUEL. Na mpango wa TPDC kupitia GASCO -Gas Supply Company wanafanya Project ya DOWNSTREAM kwa ameneo mengi ya Dar es salaam kama masaki, mikocheni na maeneo mengine kuunganisha pipe za gas kwenye nyumba za watu kwa matumizi ya nyumbani.
 
Ili kuweza kuibadili gas Yetu iwe katika kimiminika na kusafirishwa kwa njia ya mitungi, Project inaweza kugharimu kiasi gani cha fedha? Kwasababu hili likiwezekana ni hakika tutaifaidi Gas hii maradufu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
I remember to have read similar arguments kama hii, ambayo pia Lissu na mabeberu wengi wamekuwa wakizitumia kupinga mradi huo wa Rufiji ikiwa ni pamoja na uharibifu wa mazingira na kutumia vibaya Mbuga ya Selous! What a joke!
 
Bei ya umeme kuwa juu, ina husika vipi na kilimo cha umwagiliaji kuwa juu?? Naomba ufafanuzi hapo!!!
Kuna micro irrigation schemes kibao hapa kanda ya kati zinazotumia umeme kusukuma maji toka visimani kujaza kwenye matanki kisha kumwagilia mazao. Hizo ndizo zinazoathiriwa na bei ya umeme kuwa juu.
 
Sasa naomba unieleweshe Kama tutauza hizo megawatts 500 ...tutajuaje Kama ni megawatts 500 zimeenda huko...je hawatakula nyingi tukajikuta tuko kwenye shida tena?
 
Safi sana..tatizo tuombe tusipate ukame tu wa maji na mvua na vyanzo vya maji vibaki constant la sivyo work done will be equal to ZERO.
Haikuwepo na haja ya kujenga bwawa jipya Hali ya zamani yangeweza boreshwa, kwa kuondoa michanga na matope mabwawani pia kubadili injini za zamani na kufunga za kisasa maji kidogo speed kubwa umeme mwingi
Tuwaamini wataalamu wetu wanaohusika na ujenzi wa Bwawa la Nyerere kwan kuzingatiwa athari na matokeo yake ya kijamii, kisiasa, mazingira na kiteknolojia (rejeeni EIA na SIA ya huo mradi).

Kwa mfano jenzi wa bwawa jipya na kubwa ni jibu la hoja ya Magimbi. Isitoshe juhudi na mikakati ya kudhibiti mabadiliko ya tabianchi imeonesha mafanikio mazuri jwani huu mwaka kumekuwa na mvua kubwa na nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…