Nini tatizo la gari kutaka kuruka ukibadilisha gia?

Nini tatizo la gari kutaka kuruka ukibadilisha gia?

Sasa hyo OD inawaka na kuzimika
haiwez kuwaka na kuzima bali unaiminya mwenyew na kuizima bila kujua mf.mm ya kwangu iko chin kidogo ya unapopangulia gia...so ukiishika bahat mbaya ndo inawaka
 
Yaani itabidi monday nirudi Garage yaan naogopa kuongez speed maana inaweza paa
ikiwa OD imewaka yan gar inakuwa nyepes mno,,,, hapo unalazimisha gar ikimbie zaidi na mafuta yanalika zaidiOD maana yake ni Over Drive
 
haiwez kuwaka na kuzima bali unaiminya mwenyew na kuizima bila kujua mf.mm ya kwangu iko chin kidogo ya unapopangulia gia...so ukiishika bahat mbaya ndo inawaka
Sijaiwasha mwenyew inawaka n kuzima nimeshazima still inafany hvyo
 
Najua mkuu, nachangamsha damu tu.

Hicho kigari nakiheshimu sana... dadaangu alishapaa (sorry alikiendesha) toka Dar mpaka Moshi kwa mafuta ya elfu 60 tu.
ila kinachoka haraka engine yake haina nguvu hizo sanaaa....
 
ikiwa OD imewaka yan gar inakuwa nyepes mno,,,, hapo unalazimisha gar ikimbie zaidi na mafuta yanalika zaidiOD maana yake ni Over Drive
Naelewa n over drive...ila nimekwmbia kinawak n kuzima ..ukizima still kinaonesha hvy hbyo na hata ukiwash still the same
 
Isije ikawa imewekwa injini ye helikopta... Passo ikipaa mbona itakuwa full burudani?? kwakuwa unaweza kutua hata juu ya paa la choo cha uswazi

Hebu ngoja tuwasububiri wataalam, labda kuna ishu ya kiufundi.
Bombardier
 
hiyo ni evolution kutoka Passo kwenda bombardier ya mcanada subiri soon mapanga yatachomoza ule bata
 
Back
Top Bottom