Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Mpandishe cheo awe mke mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wallah vile unafanya vituko Zaid yake!Kwa moyo wa dhati, naomba tulijadili hili kiutu uzima, huende tukaokoa maisha ya mtu mmoja.
Mkuu hiyo 5-10 ni balaa aiseee motoo unawakaaaa.. Cheo kinapandaa dharau ndo kama zotee sijui umejuaje hayaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Falsafa ya ndoa.
0 - 5yrs. = mahaba niue niponde kama kokoto. In short ni honeymoon phase, mpka miguu utakandwa. Pia hapa wale mafisi hawakosekani, wataendelea kumsumbua wife lakini most times unakuta kashika msimamo. Pia ndo kipindi anakuchunguza kama zile ahadi ulizokua unaweka unazitimiza maana wanawake wenyewe wanaamini kwenye ndoto na sio reality. Pia atakua msaada mkubwa kujitahidu msaidiane kufikia malengo.
5-10yrs - hapa ndo hua kisebengo kinaanza. Maana kipindi hiki ndo unakuta tayari ana katoto kamoja maximum viwili, pia kazini unaeza kuta kapandishwa cheo na mshahara juu (usisahau linapokuja suala la pesa, kwa mwanamke ni changu changu, chako chetu). Pia hiki kipindi ka dharau ndo kanakua kazito maana anaanza kuamini anaeza kutoboa yeye mwenyewe na akalea watoto because uwezo upo. Pia anaanza kuona ananyimwa uhuru n.k. kama anakula vzur anaanza kupendeza zaidi, na hapa wanakuja mafisi wakubwa (ze mubabaz). Hiki kipindi ni kigumu na ukikivuka tunasema ni nusu ya safari.
10-15yrs - hapa wenge hua linakata. Akicheki ndani watoto hata watatu tayari, pia jua lishaanza kuzama, hayuko marketable kama zamani. Hapa wanarudi kwa spidi kubwa kujitahidi kuleta maendeleo makubwa ndani ya familia ili msizeeke kiugumu n.k. heshima itakua 50% lakn utajihisi kama mko pamoja kwenye utaftaji n.k
15 - 20yrs - katika kipindi hiki hua mwanamke anakubali yaishe. Mtakapokua mmefikia hapo ndo anaona bas tena. Kama mko apeche aroro, atakubali tu hvo hvo. Hakuna tena maximum struggle, ni kujitahd kumaintain kilichopo. Heshima inakua 25% in short mwanaume huna jipya. Lawama hazikosekani kua ulichezea maisha na wanawake zako n.k. yapasa moyo mgumu
20 - 25yrs - hapa ndo kipindi most men unahangaika na magonjwa yasioambukiza kama presha na kisukari. Kipindi hiki pia watoto wamekua a.k.a tayari wamekua ugali i.e wako tayari. Hapa mwanamke anageukia watoto na kuanza kuwaonyesha upendo uliokithiri ukiunganishwa na lawama nyingi kwako ili yeye aonekane zaidi. Kwahyo usipoangalia hapa unabaki mwenyewe yeye na watoto mahaba ndindindi.. kama kawaida mwanaume unakaza moyo.
25-30yrs - most times japo ni ajabu hiki ndo kipindi ndoa nyingi zinavunjika. Mwanaume anastaafu anapata fungu lake. Anaanza kulichezea kama hana akili nzuri maana anaona sasa hv yuko mboga hakuna wa kumbabaisha. Usisahau pia wife hapa pia anaeza kua anazichota kwa spidi kubwa. Mwanaume anajiona kama kijana na yeye hakosi totoz. Mwanamke anatumia hiki kama kigezo cha kuona anaonewa. So hapo ndo safari za kwenda kwa watoto zinakua nyingi. Mwanaume unabaki mwenyewe unahangaika yeye yuko kwa watoto anazunguka na kulelewa.
30 - 35 yrs - uzee tayari, uko mwenyewe maana wife unamuona kwa manyato. Watoto tayari wamekutenga unabaki huelewi kipindi. Kama upendo bado upo hapa mtazeeka nae kama watu mnaofahamiana, yaani hakuna vurugu kila mtu anamjua mwenzake kiundani. Tofauti na hapo unakula ngumi ya ndoige, wana tunakula mpunga, tunakufukia chini tunakusahau.
Neno langu sio sheria. Kila mtu amuombe Mungu ampe rehema
Nilikaa na wazee wakanifungulia dunia kama klaudzi efuemu..Mkuu hiyo 5-10 ni balaa aiseee motoo unawakaaaa.. Cheo kinapandaa dharau ndo kama zotee sijui umejuaje hayaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama shilingi ngapi bro?Tafuta pesa ,,
Hakuna ndoa yenye pesa mke akafanya vituko.
Pesa inaonekana kwenye matumizi mkuu,Kama shilingi ngapi bro?
SawaPesa inaonekana kwenye matumizi mkuu,
Mfano mke anakuomba elfu 50 unamzungusha miezi miwili utaacha kufanyiwa vituko?
Mke kwenye pesa yeye ndy anatafuta mbinu za kuinusuru ndoa isivunjike.
DaaaFalsafa ya ndoa.
0 - 5yrs. = mahaba niue niponde kama kokoto. In short ni honeymoon phase, mpka miguu utakandwa. Pia hapa wale mafisi hawakosekani, wataendelea kumsumbua wife lakini most times unakuta kashika msimamo. Pia ndo kipindi anakuchunguza kama zile ahadi ulizokua unaweka unazitimiza maana wanawake wenyewe wanaamini kwenye ndoto na sio reality. Pia atakua msaada mkubwa kujitahidu msaidiane kufikia malengo.
5-10yrs - hapa ndo hua kisebengo kinaanza. Maana kipindi hiki ndo unakuta tayari ana katoto kamoja maximum viwili, pia kazini unaeza kuta kapandishwa cheo na mshahara juu (usisahau linapokuja suala la pesa, kwa mwanamke ni changu changu, chako chetu). Pia hiki kipindi ka dharau ndo kanakua kazito maana anaanza kuamini anaeza kutoboa yeye mwenyewe na akalea watoto because uwezo upo. Pia anaanza kuona ananyimwa uhuru n.k. kama anakula vzur anaanza kupendeza zaidi, na hapa wanakuja mafisi wakubwa (ze mubabaz). Hiki kipindi ni kigumu na ukikivuka tunasema ni nusu ya safari.
10-15yrs - hapa wenge hua linakata. Akicheki ndani watoto hata watatu tayari, pia jua lishaanza kuzama, hayuko marketable kama zamani. Hapa wanarudi kwa spidi kubwa kujitahidi kuleta maendeleo makubwa ndani ya familia ili msizeeke kiugumu n.k. heshima itakua 50% lakn utajihisi kama mko pamoja kwenye utaftaji n.k
15 - 20yrs - katika kipindi hiki hua mwanamke anakubali yaishe. Mtakapokua mmefikia hapo ndo anaona bas tena. Kama mko apeche aroro, atakubali tu hvo hvo. Hakuna tena maximum struggle, ni kujitahd kumaintain kilichopo. Heshima inakua 25% in short mwanaume huna jipya. Lawama hazikosekani kua ulichezea maisha na wanawake zako n.k. yapasa moyo mgumu
20 - 25yrs - hapa ndo kipindi most men unahangaika na magonjwa yasioambukiza kama presha na kisukari. Kipindi hiki pia watoto wamekua a.k.a tayari wamekua ugali i.e wako tayari. Hapa mwanamke anageukia watoto na kuanza kuwaonyesha upendo uliokithiri ukiunganishwa na lawama nyingi kwako ili yeye aonekane zaidi. Kwahyo usipoangalia hapa unabaki mwenyewe yeye na watoto mahaba ndindindi.. kama kawaida mwanaume unakaza moyo.
25-30yrs - most times japo ni ajabu hiki ndo kipindi ndoa nyingi zinavunjika. Mwanaume anastaafu anapata fungu lake. Anaanza kulichezea kama hana akili nzuri maana anaona sasa hv yuko mboga hakuna wa kumbabaisha. Usisahau pia wife hapa pia anaeza kua anazichota kwa spidi kubwa. Mwanaume anajiona kama kijana na yeye hakosi totoz. Mwanamke anatumia hiki kama kigezo cha kuona anaonewa. So hapo ndo safari za kwenda kwa watoto zinakua nyingi. Mwanaume unabaki mwenyewe unahangaika yeye yuko kwa watoto anazunguka na kulelewa.
30 - 35 yrs - uzee tayari, uko mwenyewe maana wife unamuona kwa manyato. Watoto tayari wamekutenga unabaki huelewi kipindi. Kama upendo bado upo hapa mtazeeka nae kama watu mnaofahamiana, yaani hakuna vurugu kila mtu anamjua mwenzake kiundani. Tofauti na hapo unakula ngumi ya ndoige, wana tunakula mpunga, tunakufukia chini tunakusahau.
Neno langu sio sheria. Kila mtu amuombe Mungu ampe rehema
VurugumechiVurugu gani anazo
Kwa moyo wa dhati, naomba tulijadili hili kiutu uzima, huende tukaokoa maisha ya mtu mmoja.
Kama chanzo au tatizo ni wewe, tengeneza ulipo haribu. Ila kama ni kinyume chake ongeza mke mwingine. Sisi hivi ndivyo huwa tunafanya.Kwa moyo wa dhati, naomba tulijadili hili kiutu uzima, huende tukaokoa maisha ya mtu mmoja.