Kwakweli haya manamake kwa sasa haapana! Yaan wamekuwa mbogo, anataka nayeye awe kama mwanaume, hataki umkanye kwa lolote, akikosea umbembeleze, analotaka yeye lipite, usipompa hela ya kusuka humpendi, uki..
chanzo cha haya ni dawati la jinsia! Yaani anafanya lolote ili ukimtandika hata kbao tu,akakushtaki [emoji4]
mwanamke anaeweza kwenda kukushtaki, hata kumfukuza huwezi, au hakikisha uko tayari kugawana nae kilichopo.
ni aibu mwanaume kwenda kumshtaki mke wako kwamba anakunyanyasa japo wao wanaweza.
jibu: mripoti kwa wazazi wake/ndg zake wa karibu
nyongeza: kijana oa mwanamke alie chini yako kwa kila kitu, huyo ndie atakuheshimu.