Nini ufanye mkeo anapoanza vituko ndani ya ndoa?

Kwa moyo wa dhati, naomba tulijadili hili kiutu uzima, huende tukaokoa maisha ya mtu mmoja.
Inategemea anasumbuq kuhusu nini, jeuri, kiburi, dharau, si mnyenyekevu, si msikivu, mzinzi, hakaliki nyumbani, hana uaminifu labda pesa anaiba, udanganyifu au uongo, urafiki na mashosti mashankupe, mlevi wa simu na tv, mchafu hapendi usafi, anajiamulia vitu bila kuomba ruhusa, nini hasa ukiweka bayana ni vizuri hicho kisa chenyewe
 
Heshima kwako MKUU
 
Kwakweli haya manamake kwa sasa haapana! Yaan wamekuwa mbogo, anataka nayeye awe kama mwanaume, hataki umkanye kwa lolote, akikosea umbembeleze, analotaka yeye lipite, usipompa hela ya kusuka humpendi, uki..

chanzo cha haya ni dawati la jinsia! Yaani anafanya lolote ili ukimtandika hata kbao tu,akakushtaki [emoji4]

mwanamke anaeweza kwenda kukushtaki, hata kumfukuza huwezi, au hakikisha uko tayari kugawana nae kilichopo.

ni aibu mwanaume kwenda kumshtaki mke wako kwamba anakunyanyasa japo wao wanaweza.

jibu: mripoti kwa wazazi wake/ndg zake wa karibu

nyongeza: kijana oa mwanamke alie chini yako kwa kila kitu, huyo ndie atakuheshimu.
 
Mpaka hapa sion solid reason ya kuoa asee
 
Unampa dudu la kutosha? Au ndio unamchafua chafua tu mtoto wa watu na hayo maji yako mazito?
Ndoa ni zaidi ya hilo....japo hilo ni sehemu muhimu ya ndoa.
 
Mpaka hapa sion solid reason ya kuoa asee
Usiogope kuoa. Maana kuoa ndo kunaleta maturity. Maturity ya mwanaume ni ku deal na matatizo na sio kuyakimbia. Pia ujue on the future utapata watoto, na sio wote hawatataka kuoa / kuolewa. Wewe kama mzazi inabd uwe mfano kwa wanao.
 
Wanawake inshort wanatabia ya kumpima mwanaume , ukiingizwa lain mwanaume basi ujue umekwisha..kikubwa mwanamke ni mali ya mwanaume hivyo hatakiwi kukuendesha kamwe...pia ifahamike mwanamke hana tofauti na hela ..ukiweza ku icontroal nguvu ya hela isikuendeshe basi na mwanamke hutomshindwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani kuwa mwanaume ndio sio kuwa romantic?
Chunguza sana utagundua kwamba mtu hawezi kua mwanaume na awe romantic at the same time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…