Ninunue bajaji iniingizie pesa au ninunue gari nami nionekane mtu ila linitese?

Ninunue bajaji iniingizie pesa au ninunue gari nami nionekane mtu ila linitese?

Gari ni muhimu... Ila haliingizi chochote. Zaidi ya kukumaliza tu.

Bajaji ikipiga mishe vizuri kwa wiki naweza kuwa naweka kibindoni 150K na dereva anajilipa vizuri.

Ushauri wenu.. MONEY IN A BANK.
Ukinunua Bajaj, dereva atakuwa msumbufu kuleta hiyo 150k per wiki, atakuomba uwe unamvumilia.

Kuna siku atakwambia imekula mzinga au wamemuibia.😅😅😅😅

Nunua gari mkuu, muda wote unaiona 😅😅😅😅

(Am not serious though)
 
Back
Top Bottom