Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mzee Kigogo kwenye mkataba utaona bora uvute mashine ya Caterpillar tu..magari ni ya kuyatumia yaishe model ikipitwa na wakati unataka kutumia gari mpaka unakuja kufanana nalo sura.Prado mchaga upate engine ya diesel 1kz with 5 speed manual gearbox. Mkataba
Binafsi kigezo changu cha kununua gari kwanza uimara, upatikanaji wa spare na mafundi na pili resale value. Mambo ya kununua gari kwa kigezo cha muonekano, uniqueness nimewaachia vijana wa mjini, bado wana ushamba wa magari.Mzee Kigogo kwenye mkataba utaona bora uvute mashine ya Caterpillar tu..magari ni ya kuyatumia yaishe model ikipitwa na wakati unataka kutumia gari mpaka unakuja kufanana nalo sura.
Hakuna gari ambayo Watanzania hawawezi kutengeneza Mkuu..uimara mara nyingi tunanunua gari za miaka ya nyuma sana kutokana na kodi ila kama tungekua tunapata za miaka ya karibuni mambo ya kusikia likisumbua ndani ya muda mchache ni nadra sana..Binafsi kigezo changu cha kununua gari kwanza uimara, upatikanaji wa spare na mafundi na pili resale value. Mambo ya kununua gari kwa kigezo cha muonekano, uniqueness nimewaachia vijana wa mjini, bado wana ushamba wa magari.
Tutafute hela nyingi.Iko vizur
Mkuu hivi x trail new model na Mazda ipi ipo kinyama zaid plus fuel consuptionTutafute hela nyingi.
Mkuu chukua yoyote hapo mcheki Isanga family chukua ya south africa unapata gari latest kwa bei chee ,mi pia nampango huoMkuu hivi x trail new model na Mazda ipi ipo kinyama zaid plus fuel consuption
Haina shida mkuu ..we mkuu unafanyia wapi
Uwezo wako kununua ni sukari mifuko mingap hasa mfano ya kg25Mkuu, natarajia kuweka base aidha Geita au Katoro au Kahama, ili kufanya biashara.
Biashara ya sukari (kuuza jumla) huwa ipo kwenye mipango yangu sana, ila nakosa connection (kushikwa mkono) ya kupata mzigo viwandani, coz the Giants wamekaba sana hiyo sekta na ni wagumu kutoa info/ABCs za biashara hii.
Uwezo wako kununua ni sukari mifuko mingap hasa mfano ya kg25
Ili uweze pata Bei poa itatakiwa uwe na uwezo wa kununua tone30 ambayo nisawa na mifuko ya kg25~1280 hapo utaweza chukulia kiwandani Sasa mfano kwa Sasa Bei kiwandani 58500..utachukua 58500×1280=74,880,000...Sasa kwa m10 itakubid uchukulie kwa wakala mfano hapo kahama unafuta wakala anaeleta sukar Toka kiwandani sababu unachukua sukar ya Hela nyingi kama mfano hiyo 10m..basi yeye atakuuzia tofaut na anavowauzia wangine wasukari ya m2 ww atakupunguzia zaid ili uwende ukauze jumla naww upate faida mzigo uishe kwa harakaKwavile siwezi fahamu bei itayokuwepo wakati huo (December/January) nitakapokuwa tayari kuanza, naomba nikujibu swali lako kwa taswira hii: Ninakusanya mtaji wa Tsh 10M kwa kuanzia.
Ili uweze pata Bei poa itatakiwa uwe na uwezo wa kununua tone30 ambayo nisawa na mifuko ya kg25~1280 hapo utaweza chukulia kiwandani Sasa mfano kwa Sasa Bei kiwandani 58500..utachukua 58500×1280=74,880,000...Sasa kwa m10 itakubid uchukulie kwa wakala mfano hapo kahama unafuta wakala anaeleta sukar Toka kiwandani sababu unachukua sukar ya Hela nyingi kama mfano hiyo 10m..basi yeye atakuuzia tofaut na anavowauzia wangine wasukari ya m2 ww atakupunguzia zaid ili uwende ukauze jumla naww upate faida mzigo uishe kwa haraka
Ehee mimi nilivyoona zinakimbiliwa nikajua labda 20M huko maana wabongo washaanza ifanya sareSure mkuu. Hii 2nd gen bila 40+ sidhani.
Wabongo wengi wanayo 1st gen ya 2016 kushuka chini. Iyo unapata 25-27-29!Ehee mimi nilivyoona zinakimbiliwa nikajua labda 20M huko maana wabongo washaanza ifanya sare
Kutakuwa na toleo lingine la ndinga kali zaidi ya hiloMi nishaapa mwakani hadi mwezi kama huu inshallah lazimq nilitie nyavuni,naielewa sana
Shngp ioTutafute hela nyingi.
Mkuu hizi gari zimetofautiana miaka yaaniMkuu hivi x trail new model na Mazda ipi ipo kinyama zaid plus fuel consuption
Hv mkuu, kwenye ule Uzi wa mshahara nahisi unatochora sisi wa OR TamisemiMi nitakua bias kwa CX-5!
Ila ungejitahidi upate ya 2015-2016 walifanya face-lift kidogo walibadirisha muonekano wa ndani na nje.
Baadhi ya mabadiriko ni updates ndogo ndogo za nje mfano grille, road noise ambayo ni kilio cha Mazda miaka mingi wamepunguza, waliimprove infotainment system especially issue ya kuconnect Bluetooth na kuongeza knob (controller), waliongeza sport mode, LED lights mbele na nyuma kutoka halogen.
View attachment 3075775View attachment 3075776View attachment 3075778View attachment 3075779View attachment 3075780View attachment 3075782
Izo picha angalia before facelift (2014 kurudi nyuma) na after facelift (2015&16)
Features za ziada utakazo enjoy kwa Mazda:
Adaptive Cruise Control
Smart City Brake Support
Blind Spot Alert
Heads Up Display
Faida za CX5
Iko na smooth ride
Very fuel efficient
Comfortable
Spacious
Hasara kidogo
Complications kidogo za DPF
Rangi kuchubuka
Tips:
Usinunue Mazda ambazo haina logo pale mbele.. kuna uwezekano ilipata ajali. Ile logo ya mbele sio tu logo bali pia ina sensors na radar kwaajili ya SCBS na Adaptive Cruise Control.View attachment 3075789
Na mwisho kwangu kuna packages nyingi, nunua packages ya XD L ndio ipo full loaded.