zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ndio nakwambia ukikutana na chotara hutosema hivyo, Nusu Mmanga Nusu Mkurya au Nusu Mnyaturu Nusu Mkurya tena hawa ndio balaa nilisoma na mmoja alikua ni black fulani wa kung'aa hivi alafu ana bonge la tako alipofika mwaka wa mwisho alipigwa mimba sasa hivi ana watoto wawili alafu kashaolewa,Tatizo wengi wao wanakua na sura za baba zao ha ha ha
Nilikuwa na baby mkurya aisee ana hasira jambo dogo anaanza kuunguruma kama Simba na hivi wamelelewa kuona mwanamke si kitu ilikuwa hatari aisee I have to let go huyo kukuua ni dakika sifuriWanaume wa kikurya wakorofi sana watani zangu hawa.
Mdogo wangu Kokulila akaona isiwe tabu akakimbia. Mwanaume ana pesa lakini mkono mwepesi. Akaona atakuja kuniua huyu mbwa akarudi nyumbani.
Ukute hata hakuwa na maZoea kihivo mikoa ya Kanda ya ziwa wanapenda kuuana hata Kwa vitu vya kijinga tu ikiwemo wivu.Labda alidharau maonyo aliyopewa
Unanichanganya na huo uchotara unaoupigia chapuoNdio nakwambia ukikutana na chotara hutosema hivyo, Nusu Mmanga Nusu Mkurya au Nusu Mnyaturu Nusu Mkurya tena hawa ndio balaa nilisoma na mmoja alikua ni black fulani wa kung'aa hivi alafu ana bonge la tako alipofika mwaka wa mwisho alipigwa mimba sasa hivi ana watoto wawili alafu kashaolewa,
Kati ya wanawake rahisi basi wa huu mkoa wa maraWanawake wa kikurya nawaonaga ngoma ngumu sana
Na huwa nashangaa zaid ninaposikia habar za mgen kuchukua wake za watu huko ukurian
Ukute hata hakuwa na maZoea kihivo mikoa ya Kanda ya ziwa wanapenda kuuana hata Kwa vitu vya kijinga tu ikiwemo wivu.
Ni ujinga tu,kwa mtu anayejitambua hawezi fanya ujinga huo!!haya umefanya ujinga huo ukakamatwa unafia jela huo ni ujanja ua ujinga?huyo uliyemuacha uraiani si ataliwa tu na wengine?ujinga huo mala nyingi hufanywa na wapumbavu na bahati nzuri ktk dunia hii wapo wachache tu.Nyege haina adabu hasa ukiiendekeza
Wewe pumbavu mwezanguPumbavu mkubwa
Anaonekana anapenda maku sana...duuh RIP
Kule nadra kuwa na mambo ya kuuana kijinga hamna watu wako busy na waelewa wengi mkuu.Na kaskazini vipi?
Mtakufa sana kwenye wake za watu wndelezen kichwa cha chiniTatizo sahivi unafikiria kwa kutumia kichwa cha juu. Aisee hiki cha chini hakijali. Unakaa mwaka kule unakuta hamna demu zaidi ya hao hao tu
Usikariri, wapo Watumishi kibao tu waliokuwa na mawazo kama yako walipofika huku hawakutaka kuhama na mpaka leo wamejenga wanaishi na familia zao.....Dah tarime sio mahali pa kufanyia kazi hata kidogo
πππππ Miss Goguryeo AaliyyahMkuria ukizinguana nae anakimbilia panga nyumbani hata kama nyumbani kwao ni kilometer 10+ atakimbia hadi akalichukue alaf ndo arud sasa dawa yake usimpe nafasi ya kukimbia mtandike hadi azimie ndo umuache
Wale ni wajinga,waache huo ujinga wao.Wanapotairiwa KWA kisu huwa kuna maroho machafu ya hasira na umwagaji damu huwa wanaingiziwa
Na ungekaa kizembe angekuja kukuua huyoNilikuwa na baby mkurya aisee ana hasira jambo dogo anaanza kuunguruma kama Simba na hivi wamelelewa kuona mwanamke si kitu ilikuwa hatari aisee I have to let go huyo kukuua ni dakika sifuri
Kama wake zao wanajipendekeza wenyewe acha wapigwe tuMara nyingi kitu kinachoweza kusabahisha mauaji
Dhuruma za pesa au mali lakini kingine mke au mume wa mtu
Hapa kutoka salama kazi sana
Watumishi sehemu na wafanya biashara wanajikuta vidume sana kwa wake za watu