Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

Niko busy na wewe, kuna mahala niliona moshi nikabaki 😮
 
ila kwa haraka nachojua, mtu akininyima wewe, mfano kuchat na wewe atakua amenikosea sana, au mfano hata huku jf wakikupiga ban nitaweza kwenda kukata rufaa, kwasababu wamenikosesha upatikanaji wako
Hivi we kaka jamani 🙌🙌
 
Najua hili ndiyo jibu lako la ukweli, unavunga tu 😂
Ni kwendana na mada tu😁
🤣🤣🤣🤣
Mimi alikuwa ananikataza kula kitimoto kisa imani yake, hakafu huyo huyo ananinunulia anasema hii mara ya mwisho! Sema alikuwa ananibembeleza☺️Siku moja akawa ananifundisha kudrive acha niliingize kwenye kichaka, kijana mdogo atakugombeza vibaya sana😁
Mimi vice versa, kwneye kuandika nina makelele ila live ni kapoleee, huwezi kudhania 😂
Mimi nikiwa nimekuzoea naongea ila face to face kama hatujawahi kumeet utasema malaika si ndo huyu🤭
💯🙌

Oooh pole

Haa haaa, safi, acha mtoto acommunicate hata kama si vitu unataka kusikia.

Yapo, na utapata mtu mtapendana mpaka usahau mapito yote ya nyuma.
🥰🥰🥰
🤤🤤🤤

Tukimaliza hapo kila mtu ni jasho, na akishamwaga wa wazungu anibakishie ukuni wangu ndani niendelee kuukumbatia kumbatia na Kipochi manyonya!
Siipendi kubakishiwa ndani🥴
Kwa ufupi ni hivyo!

Ukalale mamie!
Nimeghairi😆
 
Narudia mimi Palac ndo nimesaini pesa ya mradi wa uwanja wa AFCON
Kazi nzuri sana mkuu, vizazi vyako vyote vitafaidi matunda Yako, achana wa Wabongo wanaoshindwa kujipambania angalia kuiendeleza Familia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…