Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

Ni kwendana na mada tu😁
🤣 🤣 🤣 🤣
Haa haaa, kijana anagekununia huyo, gari yenyewe ukute bado anailipia mkopo 🤣
Mimi nikiwa nimekuzoea naongea ila face to face kama hatujawahi kumeet utasema malaika si ndo huyu🤭
Mimi inanichukua muda sana, nakua overwhelmed na naogopa watu, naweza kuanza kukuzoea halafu ukashangaa ghafla tu nimepotea 🤣🤣🤣!
🥰🥰🥰
🤤🤤🤤
View attachment 3565337
Tenaaaaaaaaa 🤣, lazima kajoto kapande
Siipendi kubakishiwa ndani🥴
Daah, sasa akimaliza tu akatoe jamani 🤣
Nimeghairi😆
Haya baki, niambie wewe kadogo kadogo katoto ka 2,000 kama ka Foffana hujawahi kukaonja?
 
Naona aibu mnanifundisha matusi 🫣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…