Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

Umeandika kwa hekima sana , kuwa una lamba hata tu Kilimanjaro kwa afya tule ni kama maziwa tu bwashee
 

Ni kweli.
Pombe sio za Kila mtu.

Kuna mtu anaweza akanywa bia 2 tu . Akalewa na akajiona yeye Tajiri wa Katoro😊😊😊😊.
Wengne wakorofi na wagomvi.
Wengne mshipa wa aibu unakatika.

na ukitaka kujua kuwa Kuna watu hawana Vichwa vya pombe. Mm niliona Mbaba mtu mzima amelewa serengeti Lite 2 😊😊😊 akaanza ropoka na kujinad yye ni nani na kuanza kushika wahudumu makebo.
Yaan kaja Vizur. Alaf Vibia 2 vikamtoa KO.

Hawa ndio waache bia. Wanajiaibisha 😊😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…