Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 792
- 1,015
Hapo huyu jamaa anamaanisha nn , mm nimemuelewa kwa namna fulani kuhusu yaliyompata mwendazake ila wana forum wenye kuuelewa zaidi huu mstari tunaomba muudadavue zaidi tafadhali maana ni mstari wenye tafasiri zaidi ya moja , hapo kaonyesha ukomavu wa fasihi kwa kuiachia hadhira ijiamulie kuelewa tafasiri ionavyo yenyewe,
" Wakamlisha asali kwa kisu akaramba akamwaga wino , tangulia na dereva barua utaikuta chamwino....."
Hapo kwenye tangulia na dereva barua utaikuta chamwino, nn kimefumbwa hapo ,
" Wakamlisha asali kwa kisu akaramba akamwaga wino , tangulia na dereva barua utaikuta chamwino....."
Hapo kwenye tangulia na dereva barua utaikuta chamwino, nn kimefumbwa hapo ,