Nipeni mbinu za kuaga wazazi kwenda kufanya SUP chuoni

Nipeni mbinu za kuaga wazazi kwenda kufanya SUP chuoni

Niko njia panda naagaje kwenda kusapua course 1 ilinikamata na wazazi wanakuja fika vyuo vikuu vinafunguliwa mwezi 10

Sasa Mimi nasapua mwanzoni wezi wa 9
Nimebuni mbinu hizi ila wapi?

1.Tumeitwa na mama Samia anataka kuongea na sisi baadhi ya wana chuo

2. Nawahi kufatilia masuala ya mikopo yamezingua

3 niseme Mimi ndo shahidi kesi ya Tundu Lissu

4 naenda kufanya presentation ya field report

5. Kuna mashindano ya michezo ya wanavyuo hufanyika kabla vyuo kufunguliwa
6. Naenda kufanya mtihani wa Sup..
 
Kumbe kuna memkwa JF
cebe64d0d2b218b711ed964cd1275c8e.jpg
 
Nimeshangaa Sana kusikia kapo chuo na kutwa oooh Chimba hivi Mara Yanga vile yaani kikubwa kaniboe .

Kamesup sababu ya Mambo mengi kanawapanga wazazi ili kapate hela ya bando kashinde hapa kubishana na wakubwa zake .

Wewe ngara23 wanbie unaenda kusubmitt report za field ila Sasa nakukanya Kuna siku nilikuja kwenye uzi wako ukawa unanijibu Mimi kingereza ila wengine unawajibu kiswahili hiko kitu kiliniumiza Sana moyo usirudie maana nayajua madhara ya hiyo lugha Kama na Mimi ningeamua kujibu kwa kingereza unadhani jukwani pangekalika ?

Alafu ukimaliza kusapua embu tulia ufanye shule kwanza ,punguza Mambo mengi mwanangu
Bubu kaongea 😂
 
Umemaliza kabisaaa si tii nyongezaa 😊😊😊
 
Kwanini usiwaambie wazazi wako ukweli? Kuna haja gani ya kuwadanganya wazazi wako??
 
Ukitaka kujua IQ ya mtanzania angalia michango yake Kwenye mada za Simba na yanga hata kama ana PhD utajua tu akili zake halisi na tabia zake
 
Inategemea na viwango vya Elimu walivyonavyo Wazazi wako

Kama walisoma na kufika Elimu ya Juu, waeleze ukweli kuwa somo moja ulifeli, hivyo unaenda kulirudia

Kama hawajafika kiwango hicho cha Elimu, waeleze pia ukweli kwamba somo moja umefeli

Otherwise uwe mwanafunzi mwongo, kama yule mwanafunzi mwenzetu mmoja Mwaka 47 aliyewaambia Wazazi wake anadaiwa shilingi 420,000 kutokana na kosa la Kuvunja Assembly

Kupelekea Wazazi wake kuuza ng'ombe zao na kumtumia fedha Bwana mdogo 🙌
Kabisa mkuu ukweli hukuweka huru, nadhani pia siku hizi na malezi yanachangia watoto kutokuwa wawazi kwa wazazi wao.
 
Kabisa mkuu ukweli hukuweka huru, nadhani pia siku hizi na malezi yanachangia watoto kutokuwa wawazi kwa wazazi wao.
Yeah, ukweli ni muhimu sana

Kupata sup somo moja ni njia ya kwenda ku-carry over hilo somo in future

Vipi ikitokea ndiyo yuko Mwaka wa mwisho, hiyo Ada ataenda kumlipia nani

Hilo la malezi ni jambo mtambuka nowadays

Wazazi tumekuwa busy na kujikuta suala la malezi na kufatilia maendeleo ya Shule Kwa Vijana wetu tumelipa kisogo
 
Ww kutwa hpa kelele za Yanga haya sasa mwambie pacome akakusaidie kusapua
 
usingekuwa shabiki wa simba ungekuwa na ikili tatizo ni simba inakulemaza bwana mdogo
 
Niko njia panda naagaje kwenda kusapua course 1 ilinikamata na wazazi wanakuja fika vyuo vikuu vinafunguliwa mwezi 10

Sasa Mimi nasapua mwanzoni wezi wa 9
Nimebuni mbinu hizi ila wapi?

1.Tumeitwa na mama Samia anataka kuongea na sisi baadhi ya wana chuo

2. Nawahi kufatilia masuala ya mikopo yamezingua

3 niseme Mimi ndo shahidi kesi ya Tundu Lissu

4 naenda kufanya presentation ya field report

5. Kuna mashindano ya michezo ya wanavyuo hufanyika kabla vyuo kufunguliwa
Poor Brain alipofanya UE akagundua kuwa amezingua kwenye baadhi ya coarse akiwaambia wazazi wake ratiba ya baadhi ya course zimeingiliana na ameahirisha mitiani hiyo hivyo mwezi wa 9 lazima aende kufanya SUP.
 
Waambie ukweli uondoke na baraka za wazazi wako
Wazazi ni wazazi wakikasirika ni Kwa sababu wanataka uwe Bora zaidi ya hapo nothing to fear
 
Back
Top Bottom