Nipeni mbinu za kuaga wazazi kwenda kufanya SUP chuoni

Nipeni mbinu za kuaga wazazi kwenda kufanya SUP chuoni

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Niko njia panda naagaje kwenda kusapua course 1 ilinikamata na wazazi wanakuja fika vyuo vikuu vinafunguliwa mwezi 10

Sasa Mimi nasapua mwanzoni wezi wa 9
Nimebuni mbinu hizi ila wapi?

1.Tumeitwa na mama Samia anataka kuongea na sisi baadhi ya wana chuo

2. Nawahi kufatilia masuala ya mikopo yamezingua

3 niseme Mimi ndo shahidi kesi ya Tundu Lissu

4 naenda kufanya presentation ya field report

5. Kuna mashindano ya michezo ya wanavyuo hufanyika kabla vyuo kufunguliwa
 
3
 
Sema kuwa matokeo yako yana shida. Hivyo unaomba uende kufuatilia.

Kwamba Course work ya moja ya Course hawajakuwekea kwahiyo iko na incomplete results.
 
Sasa kama unaweza kuwaambia mmeitwa na Samia kinashindikana nini kuwaambia uliumwa hukufanya mtihani unaenda kufanya special?
 
Niko njia panda naagaje kwenda kusapua course 1 ilinikamata na wazazi wanakuja fika vyuo vikuu vinafunguliwa mwezi 10

Sasa Mimi nasapua mwanzoni wezi wa 9
Nimebuni mbinu hizi ila wapi?

1.Tumeitwa na mama Samia anataka kuongea na sisi baadhi ya wana chuo

2. Nawahi kufatilia masuala ya mikopo yamezingua

3 niseme Mimi ndo shahidi kesi ya Tundu Lissu

4 naenda kufanya presentation ya field report

5. Kuna mashindano ya michezo ya wanavyuo hufanyika kabla vyuo kufunguliwa
Kumbe watoto mpo wengi humu 🙌 sibishani na nyinyi tenaa 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣

Ulikua unasoma course gani ngumu mpaka upate SUP ??

TATIZO WADOGO ZETU MNA SYLLABUS NYINGII
 
Ndiyo serikali inakuja kuliajiri toto Kama hili eti nalo unalikuta halmashauri na suti za karume limekaa Kama liko sawa kumbe apeche alolo
Kaka wadogo zetu SYLLABUS NYINGII huyu huyu mchambuzi wa mpira, kufuatilia zuchuu , vita vya Israel and Palestine, Russia na Ukraine na mambo mengi mengi ya ovyooo unategemea wasipate SUP

MIMI SIJAWAI PATA SUP KATU
 
Inategemea na viwango vya Elimu walivyonavyo Wazazi wako

Kama walisoma na kufika Elimu ya Juu, waeleze ukweli kuwa somo moja ulifeli, hivyo unaenda kulirudia

Kama hawajafika kiwango hicho cha Elimu, waeleze pia ukweli kwamba somo moja umefeli

Otherwise uwe mwanafunzi mwongo, kama yule mwanafunzi mwenzetu mmoja Mwaka 47 aliyewaambia Wazazi wake anadaiwa shilingi 420,000 kutokana na kosa la Kuvunja Assembly

Kupelekea Wazazi wake kuuza ng'ombe zao na kumtumia fedha Bwana mdogo 🙌
 
Kwanini utafute uwongo wakat sap ni moja ya program za chuo,
Kufel mitihani chuo sio kitu kigeni na wala ww sio wa kwanza,
Wambie emefeli baadhi ya mitihani so unaenda kuirudia bas.

Acha kujifunza tabia za uwongo ukiwa bado mdogo ukikua utakuja kua tapeli na vle ajira ni shida,
Samaki mkunje angali mbichi.
 
Kaka wadogo zetu SYLLABUS NYINGII huyu huyu mchambuzi wa mpira, kufuatilia zuchuu , vita vya Israel and Palestine, Russia na Ukraine na mambo mengi mengi ya ovyooo unategemea wasipate SUP

MIMI SIJAWAI PATA SUP KATU
Nimeshangaa Sana kusikia kapo chuo na kutwa oooh Chimba hivi Mara Yanga vile yaani kikubwa kaniboe .

Kamesup sababu ya Mambo mengi kanawapanga wazazi ili kapate hela ya bando kashinde hapa kubishana na wakubwa zake .

Wewe ngara23 wanbie unaenda kusubmitt report za field ila Sasa nakukanya Kuna siku nilikuja kwenye uzi wako ukawa unanijibu Mimi kingereza ila wengine unawajibu kiswahili hiko kitu kiliniumiza Sana moyo usirudie maana nayajua madhara ya hiyo lugha Kama na Mimi ningeamua kujibu kwa kingereza unadhani jukwani pangekalika ?

Alafu ukimaliza kusapua embu tulia ufanye shule kwanza ,punguza Mambo mengi mwanangu
 
Back
Top Bottom