6. Naenda kufanya mtihani wa Sup..Niko njia panda naagaje kwenda kusapua course 1 ilinikamata na wazazi wanakuja fika vyuo vikuu vinafunguliwa mwezi 10
Sasa Mimi nasapua mwanzoni wezi wa 9
Nimebuni mbinu hizi ila wapi?
1.Tumeitwa na mama Samia anataka kuongea na sisi baadhi ya wana chuo
2. Nawahi kufatilia masuala ya mikopo yamezingua
3 niseme Mimi ndo shahidi kesi ya Tundu Lissu
4 naenda kufanya presentation ya field report
5. Kuna mashindano ya michezo ya wanavyuo hufanyika kabla vyuo kufunguliwa
Bubu kaongea 😂Nimeshangaa Sana kusikia kapo chuo na kutwa oooh Chimba hivi Mara Yanga vile yaani kikubwa kaniboe .
Kamesup sababu ya Mambo mengi kanawapanga wazazi ili kapate hela ya bando kashinde hapa kubishana na wakubwa zake .
Wewe ngara23 wanbie unaenda kusubmitt report za field ila Sasa nakukanya Kuna siku nilikuja kwenye uzi wako ukawa unanijibu Mimi kingereza ila wengine unawajibu kiswahili hiko kitu kiliniumiza Sana moyo usirudie maana nayajua madhara ya hiyo lugha Kama na Mimi ningeamua kujibu kwa kingereza unadhani jukwani pangekalika ?
Alafu ukimaliza kusapua embu tulia ufanye shule kwanza ,punguza Mambo mengi mwanangu
Umemaliza kabisaaa si tii nyongezaa 😊😊😊Nimeshangaa Sana kusikia kapo chuo na kutwa oooh Chimba hivi Mara Yanga vile yaani kikubwa kaniboe .
Kamesup sababu ya Mambo mengi kanawapanga wazazi ili kapate hela ya bando kashinde hapa kubishana na wakubwa zake .
Wewe ngara23 wanbie unaenda kusubmitt report za field ila Sasa nakukanya Kuna siku nilikuja kwenye uzi wako ukawa unanijibu Mimi kingereza ila wengine unawajibu kiswahili hiko kitu kiliniumiza Sana moyo usirudie maana nayajua madhara ya hiyo lugha Kama na Mimi ningeamua kujibu kwa kingereza unadhani jukwani pangekalika ?
Alafu ukimaliza kusapua embu tulia ufanye shule kwanza ,punguza Mambo mengi mwanangu
Usikae mbali Kaka ,namjua hakawii kuja na maneno ya kingereza tena ,uwepo tusaidizane kumjibu huyu mwananguUmemaliza kabisaaa si tii nyongezaa 😊😊😊
Kabisa mkuu ukweli hukuweka huru, nadhani pia siku hizi na malezi yanachangia watoto kutokuwa wawazi kwa wazazi wao.Inategemea na viwango vya Elimu walivyonavyo Wazazi wako
Kama walisoma na kufika Elimu ya Juu, waeleze ukweli kuwa somo moja ulifeli, hivyo unaenda kulirudia
Kama hawajafika kiwango hicho cha Elimu, waeleze pia ukweli kwamba somo moja umefeli
Otherwise uwe mwanafunzi mwongo, kama yule mwanafunzi mwenzetu mmoja Mwaka 47 aliyewaambia Wazazi wake anadaiwa shilingi 420,000 kutokana na kosa la Kuvunja Assembly
Kupelekea Wazazi wake kuuza ng'ombe zao na kumtumia fedha Bwana mdogo 🙌
Yeah, ukweli ni muhimu sanaKabisa mkuu ukweli hukuweka huru, nadhani pia siku hizi na malezi yanachangia watoto kutokuwa wawazi kwa wazazi wao.
Hii ina uzito na mantiki zaidi,2. Nawahi kufatilia masuala ya mikopo yamezingua
Poor Brain alipofanya UE akagundua kuwa amezingua kwenye baadhi ya coarse akiwaambia wazazi wake ratiba ya baadhi ya course zimeingiliana na ameahirisha mitiani hiyo hivyo mwezi wa 9 lazima aende kufanya SUP.Niko njia panda naagaje kwenda kusapua course 1 ilinikamata na wazazi wanakuja fika vyuo vikuu vinafunguliwa mwezi 10