Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Aisee ata mm naona kweny ela wagumSidhani mkuu, sema personally sijawahi kufañya survey zao maana naona malipo madooogo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ata mm naona kweny ela wagumSidhani mkuu, sema personally sijawahi kufañya survey zao maana naona malipo madooogo sana.
Sema sizan Kam online market zna tija kwa Sasa matapeli weng,wanaofaidik ni weny ujuz binafs na wako kweny carrier kitambo,Bora tuendelee na physical tu biashar za kawaida mtaaniSidhani mkuu, sema personally sijawahi kufañya survey zao maana naona malipo madooogo sana.
Sasa ndio Mana nkakwambia watu binafsi yey anawapanga kikundi kuhusu sharing faida kubwa anabeba yey wengne mnabak mnalia na block mnakulaUkitapeliwa unakuwa hujafanya background research watu wanaingia daily na wanakukala ela nzuri. Nna mfano wa mtu mmoja humu kaingia mwaka jana na kaona matunda mazuri sana ambayo huwezi amini. And she still making more tham a million kila mwezi kuptia huko.
Ni juhudi + bahati pia.
Hapangi mtu anafanya kazi mwenyewe hapangi mtu yeye ni jeshi la mtu mmoja. Mimi mwenyewe nafanyaga kazi zangu mwenyewe labda zinazohitaji kushirikisha watu kama female voice recording hapo ndipo naweza tafta mtuSasa ndio Mana nkakwambia watu binafsi yey anawapanga kikundi kuhusu sharing faida kubwa anabeba yey wengne mnabak mnalia na block mnakula
Basi uyo anafanya Kam kazi na ni bize kweli Ila wabongo wakisikia online marketing anatak atumie daika Mbili na jero yake apate faida kesho asubuhi tuna safari ndefu kwa kweliHapangi mtu anafanya kazi mwenyewe hapangi mtu yeye ni jeshi la mtu mmoja. Mimi mwenyewe nafanyaga kazi zangu mwenyewe labda zinazohitaji kushirikisha watu kama female voice recording hapo ndipo naweza tafta mtu
Tatz ujuzi mkuu wabongo wabinafsi Sana atakupa data juu juu na ukiona ivo ujue anakuingiza kingi yey alifeli au kuliwa kweny iyo system so sadtembelea upwork na unaweza jifunza kuwa data entry expert(excel expert)...
Anafanya kazi amejiriwa hiyo ni part time job. Na hata hafanyi kazi za marketing online anafanua shughuli nyingine nyingine ila amededicate muda wake na anatoa kazi nzuri.Basi uyo anafanya Kam kazi na ni bize kweli Ila wabongo wakisikia online marketing anatak atumie daika Mbili na jero yake apate faida kesho asubuhi tuna safari ndefu kwa kweli
Kazi gani na sites/app gani Mkuu?Anafanya kazi amejiriwa hiyo ni part time job. Na hata hafanyi kazi za marketing online anafanua shughuli nyingine nyingine ila amededicate muda wake na anatoa kazi nzuri.
Watu wanapiga pesa nzuri tu mbona sema sio kwenye issue za survey
Hafanyi kwenye site anatafta individual clients anakuwa anafanya nao moja kwa moja na malipo wanamlipa moja kwa moja via wire au paypal.Kazi gani na sites/app gani Mkuu?
Anafanya kazi gani exactly mkuu ili nipate insights?Hafanyi kwenye site anatafta individual clients anakuwa anafanya nao moja kwa moja na malipo wanamlipa moja kwa moja via wire au paypal.
Translation, subtitling, QA, copywriting, transcreation na mengineAnafanya kazi gani exactly mkuu ili nipate insights?
Aisee yuko vzur 1 year carrier nnaomba connection za class za izo legal investment site na ikiwezekan marketingAnafanya kazi amejiriwa hiyo ni part time job. Na hata hafanyi kazi za marketing online anafanua shughuli nyingine nyingine ila amededicate muda wake na anatoa kazi nzuri.
Watu wanapiga pesa nzuri tu mbona sema sio kwenye issue za survey
Amini anaeza kua IT kipanga kabsa tukaingizw Chaka😂😂Anafanya kazi gani exactly mkuu ili nipate insights?
Ishu za voice over / voice recording , hii kazi inahitaji uzingatie kitu gani zaidi??, vipi kuhusu accent za watu ?Hafanyi kwenye site anatafta individual clients anakuwa anafanya nao moja kwa moja na malipo wanamlipa moja kwa moja via wire au paypal.
Stop that negative mindset bruh!Amini anaeza kua IT kupanga kabsa tukaingizw Chaka[emoji23][emoji23]
Upwork wako serious sana kama hiyo ya data entry wanataka uwe na MS Excel certificate ambayo ni $150,kama mhasibu uwe na CPA yaani wamebase kwenye Professionalism kuna watu wanapiga $25+/hrsTatz ujuzi mkuu wabongo wabinafsi Sana atakupa data juu juu na ukiona ivo ujue anakuingiza kingi yey alifeli au kuliwa kweny iyo system so sad
Unajua ishu ikoje Kuna investment lazm awe kawek Kat ya 1milion ni either 500klazm irudi kweny site otherwise tumepigwaStop that negative mindset bruh!
Upwork wako serious sana kama hiyo ya data entry wanataka uwe na MS Excel certificate ambayo ni $150,kama mhasibu uwe na CPA yaani wamebase kwenye Professionalism kuna watu wanapiga $25+/hrs
Shukran sna kwa madini mkuuMkuu mimi sight nnazoziamni sana ni upwork, freelancer na fiverr japo naona siku hizi kuna matapeli lakini kama unatumia akili sawa sawa ni rahisi kujua yupi genuine yupi tapeli. Na ukifuata utaratibu wao huwezi tapeliwa.
Hao client wengine unakutana nao tu juu kwa juu au ukifanya kazi na huyu anakulink na huyu siku upo unashangaa email hyo hapo watu wanataka uwasaidie.
Muhimu ni kuhakikisha mtu akikupa kazi unaifanya vzuri kabisa.
Mimi kuna mama nafanyaga nae kazi za subtitling. Nmeanza naye kufanya subtitling wakat sikuwah kufanya ila ndani ya week aliniambiaga mimi nimekuwa top ya list ya subtitlers wake. Mwaka wa tatu sasa akiwa na kazi ataniuliza mimi kwanza kama nna muda ndo awafuate wengine. Ila halipi pesa nyng kama wengine ila nampenda kwasababu ana kazi nyingi na zikiwepo unakuwa na uhakika wa kutengeneza 30-40$ kila sku kwa week nzma au zaidi.
Hivyo ukipewa kazi ifanye kwa uwezo wako wote.